Harmorapa Fans' Special Thread...

Nimeiona video ya wimbo wake,amejitahidi,sema watu wa industry kama wanambeza ila anaweza na atafika mbali,kazi anaipenda
 
[emoji122]
 
Ndio sifahamu...watu ambie!
Huyo jamaa kwa mujibu wa interview zake yeye anafanya biashara soko la Mwenge,na anasema watu walikuwa wakimwambia anafanana na harmoniza,so wakaamua kumuita harmorappa,yeye akaitumia hiyo fursa kuamua kuanza kuimba kwa kurap.Anasema watu mtaani hukfananisha sana.na harmoniza na wengine hudhania ndo harmo.Leo nimeona video akihjiwa na Millard ayo akiwa na video kwin wake ambaye masabik wake wanamuita Wolpa.Ingawa wenyewe.wamekataa kuwa hawafanyi mapenz bali kaz tu.
Nimeuona wimbo wake leo wa USIGAWE PASI[emoji23][emoji16][emoji16]
 
Huyu sasa ndio mshindani wa kibakuli,hatimaye kibakuli amepata wa level yake!
Madale kunafuka moto
..mara nyani ...wakati iyobo na wenzake mchelemchele...ngoja aanze kudate bongo muvi na walivyo na njaa
 
Ndo ameshakua star si unaona na wewe umemposti na hakuna ambaye hamjui, na uzi unazidi kuwa mrefu. KIKI kumbe zinasaidia.
 
Sasa anaigiza kupata umaarufu....? Haitamsaidia kwenye muziki....
 
Hamorapa kijana mwenye njaa ya mafanikio ana amini katika alichonacho wala hajali maneno ya wanaomubeza
Nia yake kubwa ni kuhakikisha muziki wetu unapaa zaidi ya ulipo sasa hii ni nia njema na ya kupigiwa upatu kwa wadau wote wa muziki
Ni hamorapa pekee ambaye ameweka rekodi ya msanii underground anaefuatiliwa kwa kasi katka mitandao ya kijami na kufanya interview karibia station zote za tv na radio
Huyo ndio hamorapa aneyetakiwa na watanzania wote kwa maana wapo wanaompenda na wapo wanaopenda kumchukia huyu ndo hamorapa
 
Ni kwli,ajitahidi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…