MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,169
- 3,297
Naomba uiweke plsHii clip yao nimetumiwa sasa hivi whatsup,yaani daah we Mungu watizame wadogo zetu wa kiume.Sijui jamaa ilikuwaje kuwaje mpaka kuanza hiyo michezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba uiweke plsHii clip yao nimetumiwa sasa hivi whatsup,yaani daah we Mungu watizame wadogo zetu wa kiume.Sijui jamaa ilikuwaje kuwaje mpaka kuanza hiyo michezo.
Weka picha yake hapa..Kifesi mwenyew ni wale wale tu[emoji23][emoji23][emoji23]...hana tofauti na kina kapiga...
Ahahahahahaaa, poleni sanaHii ramadhani ya mwaka huu inabidi mtandao uzimwe vinginevyo tutakuwa tunafuturu mchana
Warumi punguza genye bana sa kifesi kaumbika nini haahha bora mwachi yupo konki huyu msukuma kawaida mnoView attachment 1093235
View attachment 1093235
Ila kifesi na yeye mashalaah bwana, mtoto kaumbika, lips kama zote, wacha tu ubakwe🤣
Umeshasema majority, what if nipo kwenye minority au nipo katika hiyo majority. Je itabadilisha hali halisi ??. Focus on the idea mkuuNchi zilizoendelea majority of them wameruhusu huu upuuzi,kwa hiyo unataka kuwa kama wao.
Umesema nchi zilizoendelea,hujase minority,pili hizo minority zipo kwenye michakato wa kurusu maswala ya homosexual na moja ya sifa ya kujiunga katika EU,uwe unaheshimu haki za mashoga kama upo kinyume ni ngumu kujiunga.Nawaheshimu wazungu kwa tafiti zao zilizoleta mabadiliko chanya kwenye nyanja mbali mbali,lakini si kila anachofanya mzungu tukichukue,vizuri tuvichukue vibaya tuwaachie.Umeshasema majority, what if nipo kwenye minority au nipo katika hiyo majority. Je itabadilisha hali halisi ??. Focus on the idea mkuu
hawa wote mapunga....huyu mwenzie aliwa mtokea jamaa angu wa karibu...nilivyoona sms zake sikuamini..jamaa anazo mpaka leoView attachment 1093235
View attachment 1093235
Ila kifesi na yeye mashalaah bwana, mtoto kaumbika, lips kama zote, wacha tu ubakwe🤣
ya hii club ipo .ata mimi niliwai ingia nilikuwa na wageni wachina ...tulitoka kula pale chinese restraurant karibu na samaki samaki...niliingia nikajua ni normal bar.Hao ndio mida ya usiku wanavaa nguo za kike wanaingia club ,nasikia wana maeneo yao ya kujidai.Nakumbuka sister wangu alinisimulia anarafiki yake alisoma nae anaishi USA,sasa alivyorudi akamchukua kampelea club gani huko masaki,sister mshamba,basi anakwambia alikutana na mapunga wamevaa nguo za kike,mixer viatu virefu,full kujipodoa hawana wasiwasi wanajiachia,sister hamu yenyewe ilikata akamuomba rafiki yake amrudishe nyumbani.
hivi J Likuli ana kazi gani Wachafu!!!! ....ni zaidi ujuwavyo..Nisingependa kufunguka zaidi....ningepata wasaa wa kukuona live..ningeshea na wewe live evidence...ila kwa hapa kwenye Keyboard only lets be as it isMmh kifesi unamsingizia, hanaga hayo mambo binamu
wewe si mama wa codec😁😁😁😁 Funguwa code hiyoJ likuli Ndo nani binamu
khaaa khaaaaa Dar kama Mombasa mchana ni ndogooo,usiku ni Kubwaaaa Tanzania ndogo check inbobo ....nimekutumia codezHapo nimekwama nyonyo 🤣
hivi J Likuli ana kazi gani Wachafu!!!! ....ni zaidi ujuwavyo..Nisingependa kufunguka zaidi....ningepata wasaa wa kukuona live..ningeshea na wewe live evidence...ila kwa hapa kwenye Keyboard only lets be as it is
Hao ndio mida ya usiku wanavaa nguo za kike wanaingia club ,nasikia wana maeneo yao ya kujidai.Nakumbuka sister wangu alinisimulia anarafiki yake alisoma nae anaishi USA,sasa alivyorudi akamchukua kampelea club gani huko masaki,sister mshamba,basi anakwambia alikutana na mapunga wamevaa nguo za kike,mixer viatu virefu,full kujipodoa hawana wasiwasi wanajiachia,sister hamu yenyewe ilikata akamuomba rafiki yake amrudishe nyumbani.