Uchaguzi 2020 Harrison Mwakyembe hali tete Kyela, wagombea zaidi ya 30 wa CCM wachukua fomu kumpinga

AMEKULA VYA KUTOSHA !!!
 
"Kyala atotole kwa mundo ojo" Mwenyez Mungu atutee katika hili watu wa Kyela, hakuna kilichobadilika kipindi chote alichokua madarakani zaidi ya kufumua barabara na kutuachia vumbi tu!!! [emoji27][emoji27] apishe wengine wajaribu pia. #Kinanasi [emoji122][emoji122]
 
Ndio demokrasia hiyo,agombee peke yake kwani hilo jimbo mali yake.
 
Arudi kufundisha'
ametosha'
mkomalien
Hata kufundisha hawezi tena...
Hajathibitisha ufisadi wa EL mpaka leo...
Aliisaliti Tanganyika...
Akaisaliti Katiba ya Wananchi...
Akajitenga na weledi ili aimbe mapambio...
Labda kama anakwenda fundisha majungu na kudanganya hapo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…