Uchaguzi 2020 Harrison Mwakyembe hali tete Kyela, wagombea zaidi ya 30 wa CCM wachukua fomu kumpinga



Kama mtu hajui hata alichokiandika mwenyewe kwenye andiko lake la PhD utamwamini kuwa kiongozi wako!!!?
 
Ndio ma akina Wassira hayo! Hayo mazee utadhani yana hati miliki na nchi hii, vijana watume ujumbe wa ajira kwa kuwaangusha wazee wote majimboni wakajiajiri!
Aisee bunge lijalo itakuwa hatari sana. Vijana wameamua kusaka ajira za ubunge bila hiyana.
 
Madaraka matamu wewe!
 
Akikosa kupitishwa ukichanganya na yale mabaki ya sumu yaliyosalia basi jamaa tutammmpoteza maana hawa wazee hawawezi kuishi nje ya siasa
 
Hivi wewe Dada! Mwakyembe alikufanya nini? Mbona unamfuatafuata sana? Alikunyima uroda nini? Utakufa na stress tu Mwakyembe atarudi kwenye Uwaziri na Ubunge wake bila matatizo yoyote!
 
Hivi wewe Dada! Mwakyembe alikufanya nini? Mbona unamfuatafuata sana? Alikunyima uroda nini? Utakufa na stress tu Mwakyembe atarudi kwenye Uwaziri na Ubunge wake bila matatizo yoyote!
Ni taarifa tu mkuu , tena kutoka ofisi ya ccm Wilaya , Wagombea wamefika 41
 
Kweli amekula vya kutosha, we mbunge miaka 10 upo tu, ka wasira
 
Mbona taarifa yenyewe imejaa udaku? Pia mara nyingi taarifa za Mwakyembe unatoa negatively sana!!?
kwamba hakuna wagombea zaidi ya 30 jimbo la Kyela ? Kingine ni hiki maadui zangu ni wanaccm akiwemo Mwakyembe , usitegemee nimpambe humu jf , kwanza amerudisha nyuma mno maendeleo ya Kyela
 
kwamba hakuna wagombea zaidi ya 30 jimbo la Kyela ? Kingine ni hiki maadui zangu ni wanaccm akiwemo Mwakyembe , usitegemee nimpambe humu jf , kwanza amerudisha nyuma mno maendeleo ya Kyela
Ni adui yako?
 
2015 MLIANDIKA VICHEKESHO KAMA HIVI YUMO NA MWAKA HUU YUMOO TAKE MA WORDS
 
Mwakyembe analeta Uanyafyale, kila msimu wa uchaguzi ukifika anaahidi kuwa ataondoka msimu ujao na raisi anayeondoka madarakani.alianza na Kikwete sasa anadai ataondoka na Magufuli,kafanya ubunge mali yake na ukoo wao wa akina Mwakyembe,ameenda mbali zaidi kwa kudai eti muda ukifika atatuchagulia mrithi wake,ambaye ndie atatwambia tumchague. Huyu anakuwa sawa na akina Warioba, muda umefika awaachie vijana tushamchoka.
 
Lakini na nyie mumeleta mtu gani hapo kwenye SACCOS yenu jimbo la Kyela, hata jina lake hakuna anayelijua, afadhali mngepigia magoti jamaa wa Uingereza angeleta ushindani. Pia kuhusu CCM simtaki Mwakyembe ila bahati mbaya sana Kinanasi hamuwezi Mwakyembe.
 
Kujiajiri wenyewe hawawezi lakini wakiwa jukwaani,utasikia vijana mjiajiri.
Huwa nakereka na mwanasiasa kutamka kauli ya "vijana mjiajiri" ukirejea fitina alizozifanya hadi anapita kwenye vyeo vya kisiasa balsa tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…