Gia kubwa
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 470
- 495
Magufuli ni Genius, yani anapatia balaa sehemu nyingi sana katika uongozi wake kama hili kapatia kinoma kuwakana wapambe na kuruhusu mchakato kugombea kuteuliwa kura za maoni uwe wa haki kwa maslahi ya chama na taifa, ideally, wateule wa kura za maoni hawapaswi kubwebwa na mbeleko wala rushwa sijui majina yao maana kwa hilo baadae ndio hujifanya miungu watu na kuturudisha nyuma kwa uzembe na ufisadi na wasivyo na shukrani wakishaula na kushiba humteta Magu kwenye cm zao wakimwita mshamba kina Kinana na Nape reference!!
Wajumbe tutendeeni haki haya mafuriko ya watia nia yawape nafasi ya kuchambua wachumia tumbo wote waliojitokeza na kisha tupeni watu wapya wasio na majina waje watende haki bungeni kuleta maendeleo na si kugonga meza tu!!
By the way wagombea ubunge wote wenye majina makubwa na nafasi kubwa serikalini si best choices kutekeleza sera za Magufuli sababu kwa ndani ya roho zao wanamchukia na kumkwamisha wanapoweza kwakuwa humlinganisha na Mkwere na jinsi walivyoiba enzi zile!! wabunge na mawaziri aliorithi Magufuli wanamuona na kumwita mshamba kwa maneno na moyoni!! Yaani hata ulaya hajaenda nao wakaiba mabilioni ya kodi za wanyonge!! I tell my presidaa the truth, Mkulu tupa kule mawaziri wa zamani wote chukua wapya!!
Magu anahitaji safu mpya kama anataka kuifanya bongo kuwa ulaya, Magu can take my advice and evaluate!