Uchaguzi 2020 Harrison Mwakyembe hali tete Kyela, wagombea zaidi ya 30 wa CCM wachukua fomu kumpinga

Uchaguzi 2020 Harrison Mwakyembe hali tete Kyela, wagombea zaidi ya 30 wa CCM wachukua fomu kumpinga

Magufuli ni Genius, yani anapatia balaa sehemu nyingi sana katika uongozi wake kama hili kapatia kinoma kuwakana wapambe na kuruhusu mchakato kugombea kuteuliwa kura za maoni uwe wa haki kwa maslahi ya chama na taifa, ideally, wateule wa kura za maoni hawapaswi kubwebwa na mbeleko wala rushwa sijui majina yao maana kwa hilo baadae ndio hujifanya miungu watu na kuturudisha nyuma kwa uzembe na ufisadi na wasivyo na shukrani wakishaula na kushiba humteta Magu kwenye cm zao wakimwita mshamba kina Kinana na Nape reference!!

Wajumbe tutendeeni haki haya mafuriko ya watia nia yawape nafasi ya kuchambua wachumia tumbo wote waliojitokeza na kisha tupeni watu wapya wasio na majina waje watende haki bungeni kuleta maendeleo na si kugonga meza tu!!

By the way wagombea ubunge wote wenye majina makubwa na nafasi kubwa serikalini si best choices kutekeleza sera za Magufuli sababu kwa ndani ya roho zao wanamchukia na kumkwamisha wanapoweza kwakuwa humlinganisha na Mkwere na jinsi walivyoiba enzi zile!! wabunge na mawaziri aliorithi Magufuli wanamuona na kumwita mshamba kwa maneno na moyoni!! Yaani hata ulaya hajaenda nao wakaiba mabilioni ya kodi za wanyonge!! I tell my presidaa the truth, Mkulu tupa kule mawaziri wa zamani wote chukua wapya!!

Magu anahitaji safu mpya kama anataka kuifanya bongo kuwa ulaya, Magu can take my advice and evaluate!
 
MPWA SIASA HAINA ADABU KABISA
UNAMWONAWANAMSIMANGA RC MMOJA KAMA.AMEKOSEA KUCHUKUA FOMU NAKWAMBIA 2021 YUMO DODOMA NA BARAZANI YUMOOOO HIO NDIO SIASA STYTUNED TUNYWE DOMPO JAMANI TULALE
 
MPWA SIASA HAINA ADABU KABISA
UNAMWONAWANAMSIMANGA RC MMOJA KAMA.AMEKOSEA KUCHUKUA FOMU NAKWAMBIA 2021 YUMO DODOMA NA BARAZANI YUMOOOO HIO NDIO SIASA STYTUNED TUNYWE DOMPO JAMANI TULALE
Wewe ni Team Makonda ?
 
Hawa wazee wote wapumzike sasa,imetosha!
Wawaachie vijana,wakajiajiri na wao

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Waganga watafanya kazi gani,mbona TB Joshua alitabiri Lowasa atashinda...nini kilitokea.
Hajawahi kutabiri hivyo,wanamsingizia!
Km ni hivyo basi na Magu alitabiriwa!
Manaake kuonekana pamoja ni nongwa!

JESUS IS LORD[emoji120]
 
"Kyala atotole kwa mundo ojo" Mwenyez Mungu atutee katika hili watu wa Kyela, hakuna kilichobadilika kipindi chote alichokua madarakani zaidi ya kufumua barabara na kutuachia vumbi tu!!! [emoji27][emoji27] apishe wengine wajaribu pia. #Kinanasi [emoji122][emoji122]
Amen! Na itakua hivyo,tunawafuta wote,zamu ya vijana wenye hofu ya Mungu ktk jina la Yesu!

JESUS IS LORD[emoji120]
 
MPWA SIASA HAINA ADABU KABISA
UNAMWONAWANAMSIMANGA RC MMOJA KAMA.AMEKOSEA KUCHUKUA FOMU NAKWAMBIA 2021 YUMO DODOMA NA BARAZANI YUMOOOO HIO NDIO SIASA STYTUNED TUNYWE DOMPO JAMANI TULALE
Aah wapi,yaani Mungu asikie tu hakunaaaa unless Mungu kamkusudia

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Wakuu natanguliza salamu hasa baada ya mchakato wa uchaguzi unaoendelea nchini kushika kasi.

Taarifa kutoka Kyela zinathibitisha kwamba kwa mara ya kwanza Ndugu Mwakyembe maji yamemfika shingoni asijue la kufanya baada ya Wanaccm akiwemo anayeitwa KINANASI kuchoka na uongozi wake duni na hivyo kuamua kupambana naye kwenye kura za awali ,Vijana wengi wa ccm wanazungumza kwa lugha ya kinyakyusa huku wakijiapiza kwamba " ALILEPO KAKO " kwa kiswahili tafsiri yake ni kwamba AMEKULA VYA KUTOSHA , na sasa anapaswa kupisha wengine .

Ikumbukwe kwamba Mwenyekiti wa CCM amekwisha tamka hadharani kwamba hajamtuma mtu yeyote kugombea ubunge na kwamba kila mtu apambane na roho yake , bali inafahamika kwamba bila mbeleko Mwakyembe ataishia kwenye kura za maoni .

Tutaendelea kuwaletea habari za uchaguzi za jimbo la Kyela kila zinapojiri .
Jamani naomba kujua jimbo la chunya vipi huko wagombea?

Kwani lazima awe yeye?
 
Wataishi kama Mashetani,namuonea huruma sana yule aliyekuwa rais wa dar.
Wengi wamejilimbikizia mali kifisadi itachukua muda kuupata uchungu wa mdororo wa uchumi labda waguswe na "utakatishaji na uhujumu uchumi!"
 
Back
Top Bottom