whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Watu wana roho ngumu. Nasubiri kuona kichwa cha mtoto tu.
You know who anapenda sana papuchi kuliko pesa.
Duh Mrs you know who nina hakika machozi yake hayataenda bure
Mi najua watoto wa hivyo ndiyo wanavyokuwa.
Ni kama DNA inafanya makusudi kumsuta mtu mzima.
Anavumilia mengi, ila machoz ya mwanamke yanawahi sana kufika kwenye kiti cha MunguMwenye mali zake kapelekwa safari ya mbali, you know who anajisevia taratibu bila wasi...
Mrs you know who ana moyo wa chuma asee...
Hata Voldemort....he insists to have frustrations as of recent[emoji23] .Ninasikia psychologically he is not ok
Hawez kua ok kabisa ...nimejarib kuvaa viatu vyake sijachukua hata dakika 5 ...sasa for him the memory will live with him until end of his lifeNinasikia psychologically he is not ok
[emoji1][emoji1][emoji1]page ya kwanza imepita kapa, ya 2 nikaunga unga mpaka kujua anaesemwa ni yule ana kichwa kibaya na kidevu kama konzi ya yuda eskarioti (akichorwa kikatuni)
Tupeleke huko huko jumba jeupe. Au wanaogopa tutampiga baby J picha.
Ni baada ya kile kipigo cha mbwa, alipotoka hospitali alikataa kurudi. Ilibidi apelekwe kw nabii wa kutembea na socks. Aliporudi aliweka msimamo kuwa harudi ilibidi wamtembelee padre mkubwa kabisa nako ilishindikana.
Amepewa nyumba na ulinzi na anatokea kwenye public occasions kutuzuga Wadanganyika.
But in the end Harry got married to Ron Weasly's younger sister."You know who" ni Lord Voldemort... The most feared and powerful wizard...
Ron Weasley had a crush on Hermione Granger...
But Hermione Granger used to like Harry Potter.
So you mean Harry and Hermione?
Or Lord Voldemort?
Cc: mahondaw
Mange ndio unamuita mropokaji?...Mangi umeongea, hili suala likimpata mropokaji mmoja fyatu, hali ya hewa itaharibika
Aisee raia mna mafumboo,hapa ss ndio tuwaelewa ninkwahyo ndo kusema malkia wa maradhi nae alipitiwa na dhoruba akashindwa kwenda na maji akapona!?..Na vp bifu la kaka mkubwa na dada wa Taifa linatokana na nini?..
Yeah, imagine.But in the end Harry got married to Ron Weasly's younger sister.
Payuka umwage mboga uonee...Lakini kuna watu wana moyo hivi kwenye kikao cha magavana wanajua kabisa wote wanajua na wao wamekauka tu.