Harry Porter na You know Who

Harry Porter na You know Who

Nimecheka sana, ninasikia hata gavana wa maradhi pia aliguswa na dhoruba ila toto chotara likamzidi mapiku.
Kuna kingine kinasumbua uvccm, babu anajipoozea mara kwa mara.

Huyu babu mpaka anastaafu celebs hawata achwa salama.

Kuna kamoja kalidengua, ikabidi apewe zigo la dawa za kulevyaa. Sijui hata banduka hii kesi?
 
Yule mbona mtoto mkubwa wa baba amejilikisha!
Mtoto wa babu huwa anatumwa kutafuta kile roho ya babu inapenda. Babu akishakula na kutosheka humwachia mtoto kumalizia.

Kama umeona mtoto anakula basi jua kaachiwa makombo amaliziee.

Babu hawezi kuona mtoto anakula vizuri huku ana njaa.
 
Hivi ikitokea mwenye mali kamwaga mboga hadharani, nini hatima ya you know who?
Atauawa mtu hapo, halafu magazeti yote yakakayochapisha habari yatanunuliwa siku hiyo, kesho yote yatafungia, website zote zitakuwa hacked na kufungiwa.

Yani jamaa kafanya vibaya sana, angeamua kuacha dini yake kama Mzee Kahama na kuongeza wake hata 22 kama Mzee Burito Nyerere hata nisingemshikia bango.

Lakini mke wa mtu?

Halafu unamtupa mumewe mbali hivyo makusudi kabisa?
 
Basi njia rahisi ni kumpoteza mumewe, atangulie aheraa.
Hili haliwezekani?
 
Back
Top Bottom