Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kingine kinasumbua uvccm, babu anajipoozea mara kwa mara.Nimecheka sana, ninasikia hata gavana wa maradhi pia aliguswa na dhoruba ila toto chotara likamzidi mapiku.
Yule mbona mtoto mkubwa wa baba amejimilikisha!Kuna kingine kinasumbua uvccm, babu anajipoozea mara kwa mara.
Huyu babu mpaka anastaafu celebs hawata achwa salama.
Kuna kamoja kalidengua, ikabidi apewe zigo la dawa za kulevyaa. Sijui hata banduka hii kesi?
Mtoto wa babu huwa anatumwa kutafuta kile roho ya babu inapenda. Babu akishakula na kutosheka humwachia mtoto kumalizia.Yule mbona mtoto mkubwa wa baba amejilikisha!
Asante. ..Acha nikitafutePresident Loves my wife??
Thanks for helping..was about to get dementor kissLord Voldemort must not be named
Hahahhaja nasikia mrs you know who kapigwa benchi ... hajaonekana mda
Mi najua watoto wa hivyo ndiyo wanavyokuwa.Amefanana na baba yake mno
Mwenye mali zake kapelekwa safari ya mbali, you know who anajisevia taratibu bila wasi...
Mrs you know who ana moyo wa chuma asee...
Atauawa mtu hapo, halafu magazeti yote yakakayochapisha habari yatanunuliwa siku hiyo, kesho yote yatafungia, website zote zitakuwa hacked na kufungiwa.Hivi ikitokea mwenye mali kamwaga mboga hadharani, nini hatima ya you know who?
Basi njia rahisi ni kumpoteza mumewe, atangulie aheraa.Atauawa mtu hapo, halafu magazeti yote yakakayochapisha habari yatanunuliwa siku hiyo, kesho yote yatafungia, website zote zitakuwa hacked na kufungiwa.
Yani jamaa kafanya vibaya sana, angeamua kuacha dini yake kama Mzee Kahama na kuongeza wake hata 22 kama Mzee Burito Nyerere hata nisingemshikia bango.
Lakini mke wa mtu?
Halafu unamtupa mumewe mbali hivyo makusudi kabisa?
Kwa sasa watu wengi sana wanajua issue kiasi kwamba akipotezwa itaonekana wazi kabisa. Na hata mkewe anaweza kuumizwa vibaya. Ikumbukwe yule mumewe. Inawezekana anafanya anavyofanya kwa kuogopa tu.Basi njia rahisi ni kumpoteza mumewe, atangulie aheraa.
Hili haliwezekani?
Angemwogopa mwanzo kutoka na mkeweWamwogope Mungu jamani last born wa family