Sasa mapenzi ya baba yanafananishwa vp na mapenzi ya aliyembikiri?Mtoto wa kike huwa ni mtoto wa Baba, ila akibikriwa tu, mapenzi kwa baba yanahamia kwa wanaomkunja. Kama binti alibikriwa akiwa mdogo less than 18 (ambayo ni kawaida kwa watoto wa singo mum), hawezi kumfikiria baba hata mara moja na vile hajawahi kukutana naye.
Kama unaangalia ndugu zako, familia yako na wanaoukuzunguka ili ndoa yako isimame au kudumu haukupaswa kuoa au kuwa kwenye ndoa kabisa. Uko kwenye show off tu kwamba na wewe una ndoa, ni maisha ya ujima na akili ndogo hayo.Kuna mahali ndoa inahitaji testimonies za wanaokuzunguka, unafanya makosa ila ukiangalia familia yako, ndugu zako unaona mbona nazingua, familia yangu wote wametulizana, why not me. Ila unaangalia dada zako, kaka, wajomba, nk wengi walishaachana, nani anakupa motisha kupigania ndoa yako?
Ni aibu kwa nani sasa?Umeshasema mtoto alipatikana kwa one night stand, ni aibu hata kuismbia jamii achilia mbali kumwambia mtoto.
Maisha sio fair kwa watu wengi kuanzia watu wanaoteseka kwenye umasikini wakati wakifanya kila jitahada, watu waliokuwa vilema kwenye ajali za uzembe wa madereva mpka wafungwa wa kisiasa na waliosingiziwa kesi kama wakina Lissu walioko gerezani. Huo ndio uhalisia wa maisha na wala hakuna cha kushangaza.Kuna scenario zinaeleweka, kukataliwa, kukimbiwa, kufiwa nk. Ila haiondoi fact ya mleta mada kwamba sio fair kwa binti/kijana na hakustahili hayo mawe.
Unataka niangalie familia ya nani kama role model wa ndoa yangu? Kama hujui ndoa zina ups and downs, nyakati za furaha na nyakati za kukata tamaa, vipindi vya kupendana na vipindi vya upendo kupoa wewe huijui ndoa, kaa bachelor tu. Hizo ndio nyakati unahitaji nguvu ya ziada kuhakikisha unaipalilia ndoa yako idumu. Ukiona watu wapo 30+yrs kwenye ndoa unadhani ni rollercoaster?Kama unaangalia ndugu zako, familia yako na wanaoukuzunguka ili ndoa yako isimame au kudumu haukupaswa kuoa au kuwa kwenye ndoa kabisa. Uko kwenye show off tu kwamba na wewe una ndoa, ni maisha ya ujima na akili ndogo hayo.
Kwanza ni ujinga kusema unapiginia ndoa, kwani ndoa ni vita hadi uipiganie.
Jiulize ni aibu kwa nani, au muulize aliyezalishwa one night stand atangaze kuwa alizalishwa namna hiyo kwenye sherehe ya binti/kijana wake kama unadhani ni sifa nzuri.Ni aibu kwa nani sasa?
Kwa upande huo, tunaongelea ndoa na maisha yake. Fairness haipo kila mahali, mtu kaja na mma wadogo tu kwenye ndoa unadhani huyo muoaji anaona sawa, ni basi tu!!Maisha sio fair kwa watu wengi kuanzia watu wanaoteseka kwenye umasikini wakati wakifanya kila jitahada, watu waliokuwa vilema kwenye ajali za uzembe wa madereva mpka wafungwa wa kisiasa na waliosingiziwa kesi kama wakina Lissu walioko gerezani. Huo ndio uhalisia wa maisha na wala hakuna cha kushangaza.
Hakuna maana yoyote ya kuwa kwenye ndoa hata ya miaka 40 kama hiyo ndoa ni ya kuipigania na kuipalilia.Unataka niangalie familia ya nani kama role model wa ndoa yangu? Kama hujui ndoa zina ups and downs, nyakati za furaha na nyakati za kukata tamaa, vipindi vya kupendana na vipindi vya upendo kupoa wewe huijui ndoa, kaa bachelor tu. Hizo ndio nyakati unahitaji nguvu ya ziada kuhakikisha unaipalilia ndoa yako idumu. Ukiona watu wapo 30+yrs kwenye ndoa unadhani ni rollercoaster?
Wewe usipiganie ya kwako, acha itiririke tu utaleta majibu hapa(kama utakuwa na audacity)
Furaha hupewi na mtu, mtu wa pili ana-complement amani na furaha uliyonayo. Kama unaingia kwenye ndoa ili upewe furaha na amani acha kabisa kuingia maana hutaipata.Hakuna maana yoyote ya kuwa kwenye ndoa hata ya miaka 40 kama hiyo ndoa ni ya kuipigania na kuipalilia.
Hakuna medali au kombe unapata kwa kuwa kwenye ndoa muda mrefu. Mtu mwenye akili anakuwa kwenye ndoa kwa sababu tu mwenza wake anampa furaha na wanapendana.
Sasa kama mko kwenye ndoa kwa sababu mnaangalia ndoa nyingine na ndugu zenu hiyo sio ndoa ni ndoano au jela ya kudumu ya mahusiano.
Haya maisha tuache ku compare sana mambo huyo binti unajua mpaka meza inakua tupu nini kimepelekeaKwa kweli huu uzi wadau wanepaniki, sijashuhudia panic ya hivi mda mrefu sana.
Hata hivyo, mleta mada yupo sahihi, sherehe kufanyika huku upande mmoja hauonekani, hata kijana anayeoa kama yupo timamu lazima ajihoji, nini hiki?
Sema, kwa dunia ya leo single parenting ndio fashion, usishangae watu wakipanic.
Sijui kama mwenzetu una uzoefu na biological daughters! Mtoto wa kike anakuwa yupo karibu na baba yake. Atampenda sana kiasi mama yake anaweza kuanza kumchukia bintiye. Lakini akipata Boyfriend tu, anamhama baba yake taratibu. Akisha gungulanywa tu, anamuona baba kama wanaume wengine, hata heshima aliokuwa anampa au ukaribu naye unapungua. Ndivyo tunavyojua kama binti kaanza mahusiano.Sasa mapenzi ya baba yanafananishwa vp na mapenzi ya aliyembikiri?
Zama zinabadilika, hadi tumefikia zama za kukutana tu na kupelekana kwa wazazi "tumeshapendana" tayari. Lakini zama hizo huwezi kujichukulia tu, wazazi watafuatilia hadi background ya unapotaka kuoa, na hicho kilikuwa kigezo kikubwa sana, usingeweza kuoa familia ambayo watu waliachika hata kidogo, ungekataliwa.Haya maisha tuache ku compare sana mambo huyo binti unajua mpaka meza inakua tupu nini kimepelekea
Unadhani yeye asingependa hiyo meza ijae familia kama za wengine?
Unavyosema huyo kijana inabidi ajitafakari kwani yeye anaoa familia ya binti au binti mwenyewe
Mpka anafikia hatua ya kuoa si amemchunguza
Maisha ya siri nyingi kama wewe familia yako imekamilika kuanzia ma babu mapka mabibi kheri yako
Lakini binti wa watu asi
anonekana wa ajabu kosa lake ni nini?
Kwamba mapenzi ya baba ndio hayo hayo mapenzi ya boyfriend?Sijui kama mwenzetu una uzoefu na biological daughters! Mtoto wa kike anakuwa yupo karibu na baba yake. Atampenda sana kiasi mama yake anaweza kuanza kumchukia bintiye. Lakini akipata Boyfriend tu, anamhama baba yake taratibu. Akisha gungulanywa tu, anamuona baba kama wanaume wengine, hata heshima aliokuwa anampa au ukaribu naye unapungua. Ndivyo tunavyojua kama binti kaanza mahusiano.
OkayZama zinabadilika, hadi tumefikia zama za kukutana tu na kupelekana kwa wazazi "tumeshapendana" tayari. Lakini zama hizo huwezi kujichukulia tu, wazazi watafuatilia hadi background ya unapotaka kuoa, na hicho kilikuwa kigezo kikubwa sana, usingeweza kuoa familia ambayo watu waliachika hata kidogo, ungekataliwa.
Hatumjaji muolewaji, tunasema sio sawa kuwaweka mama wadogo na wajomba wakati huyu mtu ana baba, basi hata mwakilishi wa baba awepo jamani, huyu mtu hajatumwa toka mbinguni, kazaliwa na wazazi wawili.
Espy_ umeona watoto wanaojitambuaMsiwatwishe watoto mizigo yenu. Ni wajibu wa mzazi kumtafuta mtoto wake na sio wa mtoto. Kama umeamua kutokuwa katika maisha ya mtoto wako ni kwanini uone una haki ya kutafutwa?