Mdogo mdogo hadi utasema na honemoon iishie kanisaniSalaam ,Shalom!
Siku za mwisho imeandikwa Upendo wa wengi utapoa,
Yaani ufunge ndoa kanisani, tukushangilie Kisha chakula kiende kuliwa ukumbini Tena kwa kundi dog tu la watu!
Kiukwelli zamani palikuwa na upendo, likuwa Kila jumamosi au jumapiili sie watoto wa uswazi hatukukosa pilau la harusi la kugombania na watoto wenzetu.
Mungu ni yule yule habadiliki, rudisheni Upendo wa awali, mchele kilo 100 unatosha kutoa chakula kwa wahudhuriaji sherehe ya ndoa kanisani Kisha mwende kwenye mambo yenu ya giza na ulevi wa usiku.
Nimemaliza.
Ikiwa hujampa Yesu maisha yako, fuatisha sala hii.
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AMEN
Eti kama huna kadi wali utaishia kuusikia tu,Si upendo kabisa, kila kitu kiishe kanisani
Mimi ni yule yule,Ukiwa kwenye mada za siasa unakua na akili nyingi sana , ukija za dini nahisi unampa computer /tablet au simu mkeo🤔
Sawa mpendwa rabon, sikupingi hata kidogo,kwani kumkufuru huyo roho wako mtakatifu ni kufuru mbaya mno 😊Mimi ni yule yule,
Ingawa huwa Nina ushirika na Mungu ndani YANGU,aitwaye Roho mtakatifu
Tuvumiliane.
Usinilishe maneno,Mdogo mdogo hadi utasema na honemoon iishie kanisani
Kuhubiri SI kumkufuru Roho,Sawa mpendwa rabon, sikupingi hata kidogo,kwani kumkufuru huyo roho wako mtakatifu ni kufuru mbaya mno 😊
Kufundishwa hapana ,hakuna nisichojua kuhusu Dini zote na imani kwaujumla,.Kuhubiri SI kumkufuru Roho,
Uliza ufundishwe, usitokwe Bure maneno usoyajua.
Harusi ni mbinguni na wanadamu wote wamealikwa,Kumbuka hata bwana yesu tulitoka nae mbali tukishindia mizeituni hadi midomo yetu ikabaki na ukakasi lakini harusi yake kaikimbizia mbinguni.
N
Mimi sina dini ndio maana hunielewi.Kufundishwa hapana ,hakuna nisichojua kuhusu Dini zote na imani kwaujumla,.
Hata mimi mlevi na msinzi nimealikwa?Harusi ni mbinguni na wanadamu wote wamealikwa,
Na watakula Bure na kunywa,
Huo ndio Upendo sasa!
Ndio umealikwa ila uache pombe na uzinzi,Hata mimi mlevi na msinzi nimealikwa?