- Thread starter
- #21
Ndio,Yaan hicho ni chakula tu mkuu?
Duniani vyote wanadamu huangaika kwa aJili ya tumbo tu,
Hakuna kingine.
Ndio,Yaan hicho ni chakula tu mkuu?
Sawa mkuuNdio,
Duniani vyote wanadamu huangaika kwa akili ya tumbo tu,
Hakuna kingine.
Ndio maana ndoa hazidumu,Mtumishi wa mungu umenena kweli na umenikumbusha enzi hizo kweli hakuwa na maswala ya hzo kadi na michango ilokithiri. Yaani siku hizi wakubwa tu ndio wanasherehekea na unakuta muda pia ni usiku. Uchoyo uliokithiri huu
Saiz watoto wetu wadogo hawajui hata raha ya harusi ,Umenikumbusha mbali sana!viunga vya Bunda kule na pale kondoa kijijini aiseh Binge la sinia na minyama ya kutosha plus maharage mnakaa wanne wanna Hadi watano!matonge ya kutosha maji ya kunywa kwenye pipa na hakuna kuharisha kabisa baada ya hapo mpira wa karatasi tunacheza!acha kabisa!!
Saa hizi single 50,000/= double 80,000/= Hadi unachnaganyikiwa!Saiz watoto wetu wadogo hawajui hata raha ya harusi ,
Ndio maana wakikua hawataki kuoa.
Ile ya zamani iliwajenga vijana na watoto kutamani kuoa,
Na gharama ilikuwa simple sana,
Bwana harusi anaulizwa unatoa Nini kwenye kamati, anasema natoa ngombe mmoja na kilo 100 za mchele,
Imeisha hiyo.
Saiz sasa!!
Halafu watoto marufuku kwenda ukumbi I usiku,Saa hizi single 50,000/= double 80,000/= Hadi unachnaganyikiwa!
Wazungu wametuharibia sana!!nakumbuka usiku wanaweka Kanda kwenye kaseti Ile ya Bongoman ACHA tuserebuka Hadi saa sita!kesho ukiamka miguu imepaukaa !!maji ya baridii unanawa kwenda shuleni!!Halafu watoto marufuku kwenda ukumbi I usiku,
Sasa mtoto atajua ndoa ni uchoyo tu!
Zamani palikuwa na upendo.Wazungu wametuharibia sana!!nakumbuka usiku wanaweka Kanda kwenye kaseti Ile ya Bongoman ACHA tuserebuka Hadi saa sita!kesho ukiamka miguu imepaukaa !!maji ya baridii unanawa kwenda shuleni!!
Raha sana!
Yapo mengi usiyoyajua.Kufundishwa hapana ,hakuna nisichojua kuhusu Dini zote na imani kwaujumla,.
Sema chochote kuhusu atheistYapo mengi usiyoyajua.
Hata huko ulipo kweny atheism hujui chochote.
Atheist ni mtu anayemkimbia mungu, ni kama vile wahalifu wanavyokimbia mkono wa sheria. Ni mfumo mbovu wa kifikra uliojificha kweny kujigamba kuhusu maswala ya intellectual ability.Sema chochote kuhusu atheist
🚮Atheist ni mtu anayemkimbia mungu, ni kama vile wahalifu wanavyokimbia mkono wa sheria. Ni mfumo mbovu wa kifikra uliojificha kweny kujigamba kuhusu maswala ya intellectual ability.
Atheism ni dini kama zilizo dini zingine, ni imani iliyofichwa ndani ya non-existing evidences.
Simply, atheism ni kuamini katika mambo ambayo hayajawahi kutokea.