Kina Mwajuma ndala ndefu wamejazana Manzese kwa mfuga fisi mtoto wa Dangote katulizana Kempisk watameet saa ngapi!! At least tuvie kale ka Udomni kweli, watoto wa kishua wana occasion zao ambazo huwakutanisha.
mwenzangu na mimi utabiki kupishana na kina mwajuma ndala ndefu mtaani kwenu.
Inasemekana matajiri wengi wakubwa wa level ya Forbes akiwemo Bill Gates na watu mbalimbali mashuhuri duniani walihudhuria.
Kwa mujibu wa mtangazaji wa runinga nchini Kenya, ndugu Jeff Koinange, anasema hata mzee wetu kipenzi Rais mstaafu wa Tanzania mzee Jakaya Kikwete alihudhuria.
Picha kwa msaada wa mtandao wa Instagram.
--------
TAARIFA ZAIDI..
Sherehe ya kifahari ya binti wa Bilionea namba moja Afrika, Aliko Dangote aitwaye Fatima Dangote, yazua gumzo nchini humo kutokana na kuhudhuriwa na watu mashuhuri kutoka sehemu mbalimbali duniani akiwemo Bilionea kutoka Marekani, Bill Gates.
Naye Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete alikuwa ni miongoni mwa wageni wa heshima waliohudhuria katika sherehe hiyo ya kihistoria.
Wengine walioudhuria ni pamoja na mke wa Rais wa sasa wa Nigeria, Hajiya Aisha Buhari; Makamu wa Rais, Osinbanjo; Spika wa Bunge, Magavana na Watu wengine mashuhuri wakiwemo wasanii na wafanyabiashara wakubwa.
Davido na Wizkid waliangusha show moja kali sana mpaka mzee Dangote mwenyewe ikambidi ayarudi magoma.
Tafrija hiyo ya mapokezi baada ya ndoa (reception party) kati ya Fatima na mumewe ambaye ni mtoto wa Mkuu wa Jeshi la Polisi mstaafu, Jamilu Abubakar, ilifanyika jana Ijumaa katika Jiji la Lagos.
View attachment 724020View attachment 724021View attachment 724022View attachment 724080
Kwa sisi mabilionea, hta uoe mabinti zetu ustegemee mtelezo!Asante mungu wengi hawakuamini kama naweza kumwoa mtoto wa kishua sasa ni wangu
Unaongea nini sikuelewianaacha kiwanda cha cement kinakufa songea huko yeye anakula harusi. akili za waafrika sijui nani katulaani. nasasa amedrop sana
Mmmh chura inatatizo gani?Unaowaje kwanz mweny chura
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Markel kamaindi putin ye katabasam.Huyo dada kafanana sana na baba yake.
Putin alishawahi kumwambia Markel kuwa haijalishi uvae gauni la aina gani siku ya harusi ila usiku kwenye honey moon kazi itakuwa ni moja. Kutiwa
anaacha kiwanda cha cement kinakufa songea huko yeye anakula harusi. akili za waafrika sijui nani katulaani. nasasa amedrop sana
Utamuoa mtt wa nabii TitoCjui mm ntamwoa mtt wa nan hapa Tz
ase tumeumbwa tofauti yan mi mwanya cpendi kbsa.haka kabibi harus kamebeba ugonjwa wangu..(MWANYA)
Aliyemuoa ni mtoto was IGP mstaafu wa Nigeria....ugali moto na mboga ni moto....aliyemuoa bila shaka na yeye anatokea ktk familia ya kishua.. sidhani kama ni kapuku.