Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

ni kweli, watoto wa kishua wana occasion zao ambazo huwakutanisha.

mwenzangu na mimi utabiki kupishana na kina mwajuma ndala ndefu mtaani kwenu.
Kina Mwajuma ndala ndefu wamejazana Manzese kwa mfuga fisi mtoto wa Dangote katulizana Kempisk watameet saa ngapi!! At least tuvie kale ka Udom
 
Duuuh harusi yangu na Mimi nitaalika wakuu wa vijiji na vitingoji,nna imani itafana sana
 
Unasema anaacha Kiwanda chake kinakufa?? Kwa tarifa Yako $ 300m. Ambayo ni total value ya hicho kiwanda, Kwa dangote ni kama peanut,yeye Ana karibu 90× ya hiyo amount. Hata kikifa haja lose kitu.
 
Inasemekana matajiri wengi wakubwa wa level ya Forbes akiwemo Bill Gates na watu mbalimbali mashuhuri duniani walihudhuria.

Kwa mujibu wa mtangazaji wa runinga nchini Kenya, ndugu Jeff Koinange, anasema hata mzee wetu kipenzi Rais mstaafu wa Tanzania mzee Jakaya Kikwete alihudhuria.

Picha kwa msaada wa mtandao wa Instagram.

--------
TAARIFA ZAIDI..

Sherehe ya kifahari ya binti wa Bilionea namba moja Afrika, Aliko Dangote aitwaye Fatima Dangote, yazua gumzo nchini humo kutokana na kuhudhuriwa na watu mashuhuri kutoka sehemu mbalimbali duniani akiwemo Bilionea kutoka Marekani, Bill Gates.

Naye Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete alikuwa ni miongoni mwa wageni wa heshima waliohudhuria katika sherehe hiyo ya kihistoria.

Wengine walioudhuria ni pamoja na mke wa Rais wa sasa wa Nigeria, Hajiya Aisha Buhari; Makamu wa Rais, Osinbanjo; Spika wa Bunge, Magavana na Watu wengine mashuhuri wakiwemo wasanii na wafanyabiashara wakubwa.

Davido na Wizkid waliangusha show moja kali sana mpaka mzee Dangote mwenyewe ikambidi ayarudi magoma.

Tafrija hiyo ya mapokezi baada ya ndoa (reception party) kati ya Fatima na mumewe ambaye ni mtoto wa Mkuu wa Jeshi la Polisi mstaafu, Jamilu Abubakar, ilifanyika jana Ijumaa katika Jiji la Lagos.



View attachment 724020View attachment 724021View attachment 724022View attachment 724080
 
Harusi ya mtoto wa Bilionea Dangote imeonekana imehudhuriwa na watu Mashuhuri Dunian akiwemo Bill gate na Jakaya Kikwete Raisi Mstaafu wa JMT
Hoja yangu hadi nimeandika Uzi Huu ni
L kutaka kuuliza Kuwa Unadhani Tajiri Dangote alivyonana na Jk tena shughulini unafikiri waliongea Nini kuhusu kiwanda cha kutengeza saruji kilichopo Mtwara
 
Huyo dada kafanana sana na baba yake.

Putin alishawahi kumwambia Markel kuwa haijalishi uvae gauni la aina gani siku ya harusi ila usiku kwenye honey moon kazi itakuwa ni moja. Kutiwa

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Markel kamaindi putin ye katabasam.
 
Bi harusi kapendeza lakini baada ya ndoa anapigwa nje,

Mume naye kibamia...
Halafu ndoa ya kifahari hivyo. [emoji1] [emoji4] [emoji119]
 
anaacha kiwanda cha cement kinakufa songea huko yeye anakula harusi. akili za waafrika sijui nani katulaani. nasasa amedrop sana

Pole kwa kuuumia na lisilo kuhusu!Ukweli ni kwamba sie tunajua kiwanda cha Mtwara cha saruji!Hiko cha Songea kilijengwa lini mkuu?
 
Back
Top Bottom