Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Daah! Hakuna kitu kibaya kama binti kufanana na baba yake!!!
 
Ange alikwa blaza wetu wa sasa ivi[emoji28][emoji28] ingekua shida, maaana ........
 
Nanilihiiiii hakualikwa kwani?
Mzee wa msoga mtu wa watu muungwana aliishi vizuri na watu sio mkali si mropokaji etc
Aisee! Sema tu mambo ya shadow directors lakini usije kuta tunaye tajiri namba tano Africa hapa hapa kwetu!
 
Huyo dada kafanana sana na baba yake.

Putin alishawahi kumwambia Markel kuwa haijalishi uvae gauni la aina gani siku ya harusi ila usiku kwenye honey moon kazi itakuwa ni moja. Kutiwa
Dah, nimecheka sana, Putin akili zake anazijua mwenyewe.
 
Huyo dada kafanana sana na baba yake.

Putin alishawahi kumwambia Markel kuwa haijalishi uvae gauni la aina gani siku ya harusi ila usiku kwenye honey moon kazi itakuwa ni moja. Kutiwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka kwa saut
 
Aise itabidi nimtie Mimba Jesca ili niwe son in law wa Ndugu Pombe Magufuli......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…