budebajr
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 380
- 226
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haka katoto sio kakali kiviiile...
Sema kwa kuwa ni katoto ka Dangote, haina jinsi inabidi tukasifie tu
inatokea kama mjomba akiangalia watoto wake wote anawaona mabox tu bora achukue mtoto wa dada yakeIvi kumbe kwa mjomba kuna urithi eeh?
Mtoto wa IGP mstaafu wa Nigeria sio habaaliyemuoa bila shaka na yeye anatokea ktk familia ya kishua.. sidhani kama ni kapuku.
acha upuuzi wewe huna mtoto wa kike niniDaah! Hakuna kitu kibaya kama binti kufanana na baba yake!!!
Aisee! Sema tu mambo ya shadow directors lakini usije kuta tunaye tajiri namba tano Africa hapa hapa kwetu!Nanilihiiiii hakualikwa kwani?
Mzee wa msoga mtu wa watu muungwana aliishi vizuri na watu sio mkali si mropokaji etc
Dah, nimecheka sana, Putin akili zake anazijua mwenyewe.Huyo dada kafanana sana na baba yake.
Putin alishawahi kumwambia Markel kuwa haijalishi uvae gauni la aina gani siku ya harusi ila usiku kwenye honey moon kazi itakuwa ni moja. Kutiwa
Ha ha ha ha h aKweli kabisa
Ubora wa honey moon ni Miti itakayopigwa sio number ya hotel mliyolala
Huyo dada kafanana sana na baba yake.
Putin alishawahi kumwambia Markel kuwa haijalishi uvae gauni la aina gani siku ya harusi ila usiku kwenye honey moon kazi itakuwa ni moja. Kutiwa