kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
- Thread starter
- #101
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pamoja na ukubwa wa shughuli ila kama kawaida yetu watu weusi sehemu zote unajihudumia utakavyo ila kwenye nyama na vinywaji lazima kuwepo na mgawaji sijui kwanini hatuaminiani kwenye mambo haya.