Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

Pamoja na ukubwa wa shughuli ila kama kawaida yetu watu weusi sehemu zote unajihudumia utakavyo ila kwenye nyama na vinywaji lazima kuwepo na mgawaji sijui kwanini hatuaminiani kwenye mambo haya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We unafikiri John Pombe akistaafu anaweza kualikwa kwenye sherehe yoyote??

Si atakua analia lia tu kama Kova anasema toka amestaafu hata akiwapigia simu wale waliokua marafiki zake kipindi ni Kamanda wa Kanda Maalum hawapokei siku simu zake....

Kuna maisha baada ya kazi na vyeo...sasa hayo ndo maisha sio mnapata vyeo mnajiona kama mtaishi milele....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
We unafikiri John Pombe akistaafu anaweza kualikwa kwenye sherehe yoyote??

Si atakua analia lia tu kama Kova anasema toka amestaafu hata akiwapigia simu wale waliokua marafiki zake kipindi ni Kamanda wa Kanda Maalum hawapokei siku simu zake....

Kuna maisha baada ya kazi na vyeo...sasa hayo ndo maisha sio mnapata vyeo mnajiona kama mtaishi milele....
Dah! umenifanya nicheke hadi basi
 
Daaa!!! Nikajua Tifa amekua ghafla kama kirikou kiasi cha kuolewa.
 
huyo ngosha wako anasumbuliwa na poverty mentality. hiyo hali ikimtoka utaona balaa lake. ni suala la mda tu.
Aah wapi!! Ngosha ni jiwe linalokataliwa na wezi wanaowaibia wa TZ

Mambo ya kuruka kama mwewe na kwenda n'gambo kuwashobokea wakaazi wa ulaya ni mwiko kwa ngosha.

Watanyooka tu.[emoji1]
 
haka kabibi harus kamebeba ugonjwa wangu..(MWANYA)
Mkuu ugonjwa wako unafanana na wangu, na nahisi huu ugonjwa utaniua!

Siwezi ku*t**mba demu asiye na mwanya kabsa!
 
Bakayoko wa awamu ya 5 hajaalikwa?? Ni lishamba Sana Hilo liBakayoko la tz!
 
Alafu huyu anayemlaumu Dangote eti kaacha kiwanda kinakufaaa...anadhani Kujenga kiwanda ni kazi ya siku moja....na amesahau kuwa sherehe ya harusi ni kitu cha siku moja...dah! Kweli akili ni Mali
Mkuu nchi hii ina vichaa wengi sana
 
Back
Top Bottom