Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Sasa kwa Raisi Mwinyi mahari utapeleka bei gani maana hela zipo za babu wa binti na zake pia.Nasikia mahari kaambiwa achana nayo tu
Huyu sie muoaji
Unaliachia Taifa la Zanzibar.Hapo unaoa tu kuhusu michakato ya maisha unamuachia Baba mkwe ye ndo ahangaike
Hiyo sura ya mwanamme sio ya kimasai ni ya kizanzibar kabisaπ·
Mh Rais kapendeza sanaπ·
Hongera mkuuNi Mimi huyo
NAKAZIATulio umbiwa nyeto.. tunapiga kimya kimya tu.. hayatuhusu haya
C.c dronedrake
Kweli ulichora mstari mwekunduKataa Ndoa.. Ata awe mtoto wa nani we Kataa.
Mariam mwinyi sio mkristo ... Jamaa kabadili ndio kaoaMke wa mwinyi ni mkristo pia
Wanawake wa kiislamu hawazipendi ndoa za kiislamu. Hivyo hao waliolelewa na waislam wasomi wakipata ofa ya kuolewa kikristo ndio wanafurahi
Kabisa kabisaNgoja britanicca aje alete zandaaaaaaaani juu ya hii harusi. Hivi ni vitu vidogo mno kwake
Hata vyuo vikubwa duniani piaUnapanda Ngorika na Abood then ukutane na watoto wa Kishua?
Kwanza hawa probably hukutana abroad kwenye event nzito nzito au kwenye midege mikubwa wakielekea abroad.
Hawakukutana kwenye daldala za simu 2000 au za Mbagala hawa.
Twasubiria yako pale utakapo opolewa na rich and famous guyMrembo