Harusi ya kuolewa Binti wa Rais Hussein Mwinyi

Kaoa pazuri,swala la kukutana inawezekana alienda sokoni kununua dagaa wakakutana,kwani mtoto wa raisi hali chakula mkuu......
 


Hapo pa kupewa teuzi wanakosea sana.
Inaleta mgongano wa maslahi ya umma .
Kwa jamii yenye uadilifu mkubwa haifai kufanyika hivyo.
 
Mama nae Mkristo wa jina la Maria na sasa anaitwa Mariam. Moto wa Brigedia mstaafu kutokea Songea. Alikuwa kamishina wa TACAIDS enzi za Hatari Mkapa
Unamuitaje mkristu wakati kesha badili dini? Hata huyu kijana nae atakuwa ameingia kwenye uislamu maana baba mkwe wake hawezi kukubali binti yake aishi maisha ya zinaa ( ndoa ya mwanamke muislamu na asiye muislamu haitambuliki katika uislamu na anahesabika kuwa anazini tu hata kama kaolewa kiserikali au hata kanisani). Tuwaombee tuu ndoa yao ijae upendo, furaha na uvumilivu.

Amandla...
 
Jamaa mtafutaji off course. Japo haya mambo ni siri, unaweza ukaoa huko na mambo yasiwe kama unavyotaka, ukapigwa tuu ndoa ukaachiwa mzigo wako uhangaike nao. Yani ukafungiwa vioo. 😁


Au kukawepo na changamoto au mtihani mwingine tu ambao hata hauekezeki.
Ni kuzidi kuomba kwa Mwenyezi Mungu azidi kutupatia mema tu na kutuepusha na mabaya siku zote.
Ndio maana kwenye maisha wala isilingwnishe na mtu mwingine au kutamani maisha ya mtu mwingine maana huijui njia yake anachopitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…