Harusi ya kuolewa Binti wa Rais Hussein Mwinyi

Asubirie teuzi tu huyo amesharamba karata dume
 
Hakuna unachojua
 
Hakuna unachojua
Mwanaume wa kiislamu anaruhusiwa kuoa mwanamke asiyekuwa muislamu ili mradi awe wa kitab ( dini zinazotokana na Abraham- wakristu, wayahudi na wasabian) na watoto wao wawe waislamu. Kwa vile mwanaume wa kiislamu ana ruhusiwa kuoa wanawake hadi wanne basi hao wengine wanaweza kuwa waislamu.

Mwanamke wa kiislamu amekatazwa kabisa kuolewa na asie muislamu hata kama ni wa kitabu.
Niambie nilipo kosea.

Amandla...
 
Mi sijasema umekosea, sababu Mimi sijui chochote kuhusu kitu kinachoitwa dini. Ninachojua mmoja Mkristo mwingine ni muislam. That's what I know from their respectively family
 
Mi sijasema umekosea, sababu Mimi sijui chochote kuhusu kitu kinachoitwa dini. Ninachojua mmoja Mkristo mwingine ni muislam. That's what I know from their respectively family
Sasa kwa nini umeniambia " hakuna nisichojua"? Na zaidi ya hapo kama muislamu mwanaume au mwanamke atabadili dini na kuingia dini nyingine atahesabi kuwa murtaad au apostate. Adhabu ya murtaad ni kifo, kifungo au kunyang'anywa mali na kutengwa. Nchi kama Pakistan na Afghanistan adhabu pekee atakayopewa ni kifo. Kwa sababu hiyo, haiwezekani kabisa kuwa bibi harusi kamfuata mchumba wake katika dini yake. Mmasai atakuwa amemfuata yeye.

Amandla...
 
Case closed
 
A cha kuongea hivyo wapo viongozi kibao tu ndoa za bomani mfano waziri mkuu majaliwa hata huyo jamaa hajabadili kwa chanzo kinavyosema
 
UnaaNdika utumbo mtu watu kibao wanaowa waislam na kuwabadili din we wawapi??!!πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
UnaaNdika utumbo mtu watu kibao wanaowa waislam na kuwabadili din we wawapi??!!πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Waislamu kibao wanakunywa pombe na kula nguruwe kwa hiyo vyote hivyo vimeruhusiwa na diini yao? Tunaishi katika nchi isiyo na dini ambayo katiba yake inamruhusu kila raia kuchagua dini anayotaka. Dini inaweza kukataza lakini mbele ya sheria ni ruksa.

Wakatoliki hawatambui talaka lakini mkatoliki anaweza kupata talaka serikalini na hata kuoa au kuolewa tena baada ya hiyo talaka.

Amandla...
 
Unapanda Ngorika na Abood then ukutane na watoto wa Kishua?

Kwanza hawa probably hukutana abroad kwenye event nzito nzito au kwenye midege mikubwa wakielekea abroad.

Hawakukutana kwenye daldala za simu 2000 au za Mbagala hawa.
Niliwahi kuwa na uhusiano na mtoto wa zuhura yunusi..
Tulikutana kwenye uwanja wa ndege kule japan
 
Hapo ni obvius Mkuu Mwanaume ndiyo kabadili Dini na kawa Muislamu. Njaa na Fursa vyote vinaenda sambamba sawa? Naomba kuuliza hivi hii Picha ya Nne ( ya mwisho hapa ) huyu Dokta Cheni Suruali yake imeingia Kipwinto ( yaani CD imenasia katika Deki ) au ni Macho yangu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…