Azathioprine
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 589
- 376
100,000 × 1000 =100,000,000 noma sana
Hapo TRA wakachukue 18,000,000/- yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100,000 × 1000 =100,000,000 noma sana
we mwanaume wa mkoani kaa kimyaHuyo mtoto ni wako au umemuazima???!!!, unaendaje na mtoto bar?! Wanaume wa Dar mtauwa lini?!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]TRA wakachukue kodi yetu hapo.
shikamooKAMA N KWELI TRA TUNAOMBA RESOT ZA EFD HAPO NA MKUSANYE MAPATOYAKWELI MSILETE USHEMEJI
Si ni mlokole unategemea nn zaidi sa sparleta [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kwa wingi
iga uone cha motoWatu nao wataanza kuiga
yeah harusi pombe mwananguharusi haina pombe,hata bure siendi
Ni maagizo! WatchHarusi ikiwa ya matangazo hivyo mmmmmh
niliendaga harusi moja ya kilokole nilijuta,,ikabidi nitoke nje kutafuta konyagi nikamimina kwenye chupa ya spriteyeah harusi pombe mwanangu
pole sana MKUU. harusi zingine muwe mnaangaliaga sio mnaenda tu. ukiona vipi unajikataa kaunta unapiga chupa zako kadhaa afu unakuja kucheza mzikiniliendaga harusi moja ya kilokole nilijuta,,ikabidi nitoke nje kutafuta konyagi nikamimina kwenye chupa ya sprite
aise nimejifunza na nina xperience,,siendi harusini bila kula bia hata 5pole sana MKUU. harusi zingine muwe mnaangaliaga sio mnaenda tu. ukiona vipi unajikataa kaunta unapiga chupa zako kadhaa afu unakuja kucheza mziki
eeeewalaaah au unagonga Konyagi yako ndogo moja afu unaenda kusikilizia.aise nimejifunza na nina xperience,,siendi harusini bila kula bia hata 5
Ndoa haipendi manjonjo Kama hAyo... Utaalika mpaka majini hapo.Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayali watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajiri ya harusi hiyo... Na leo ilikuwa send off ya mke wake mtarajiwa..all the best Masanja na mchumba wako.