Harusi ya Mwanamuziki Ali Kiba kurushwa live na Azam Tv pekee

 
hahaaaa haaaa...dawa imeingia bila shaka
Ahahaaaaaaaaaaah...
Ina maana na wewe unaamini kuwa azam wanamlipa Kiba milioni 200+ kwaajili ya kurusha matukio ya harusi yake tu..!?

Hizi team zina maajabu sana..!!!
 
Ahahaaaaaaaaaaah...
Ina maana na wewe unaamini kuwa azam wanamlipa Kiba milioni 200+ kwaajili ya kurusha matukio ya harusi yake tu..!?

Hizi team zina maajabu sana..!!!
Mzee sipo katika huo u team "" ila nilitia hiyo statement kwakuwa "" huyo Jamaa aliyejibiwa ile hoja "" alikuwa anatoa hoja dhaifu sana""
yap " naamini ndio"" hebu nipe sababu zako wewe ambazo zinakufnya usiamini""?
 
MZee sipo katika huo u team "" ila militia hiyo statement kwakuwa "" huyo Jamaa aliyejibiwa ile hoja "" alikuwa anatoa hoja dhaifu sana""
yap " naamini ndio"" hebu nipe sababu zako wewe ambazo zinakufnya usiamini""?
Endelea kuamini..!
 
Hii nchi ina watu wajinga wengi sana na wapumbavu pia, najaribu tu kuwaza jitu zima kabisa la kiume au la kike linakuja kuhusisha tukio la harusi ya Ali Kiba kuwa televised na mipango ya Makonda ama Serikali kuharibu maandamano. Maandamano uchwara yako tarehe 26 na harusi iko tarehe 19 sasa inayazuiaje au ndio kuanza kutafta pa kujifichia maana washajua kabisa hakuna maandamano yatakayo tokea.

Kitu kingine mtu anakuja kubisha Azam hawawezi kumpa Kiba milioni 200+ ili kuonyesha tukio hilo, eti wao watarudishaje hiyo pesa. Tatizo ni kwamba wabongo matukio kama haya tulikua hata hatujawahi kusikia lakini Azam wameamua kututoa tongotongo.

Tukio la harusi ya kiba litawalipa pesa ndefu sana Azam Tv, kuna makampuni yatahitaji siku hizo mbili matangazo yao yaonyeshwe maana wanajua watu wengi watakuwa kwenye tv wakifuatilia hiyo harusi inaendaje. unashindwa kushangaa makampuni kujitolea kudhamini ufanyikaji wa birthday ya mtoto wa Hamisa unakuja kushangaa Azam kutoa milioni hizo kuonyesha harusi unahoji watapata wapi faida.

Makampuni yalipigana vikumbo kupata exclusive right ya kuonyesha mazishi ya Mandela kwa pesa ndefu, mbona hamkuuliza wao wanapata faida gani kuonyesha msiba huo?

Nahitimisha kwa kusema kama kweli Ali Kiba kapewa milioni 200+ ili Azam wapate exclusive right ya kuonyesha tukio la harusi yake wamempunja sana walitakiwa kumpa pesa ndefu zaidi ya hiyo.
 
kwani kuna ulazima wowote wakurusha kwenye TV?au ndo mauzo tu.
 
Sio wivu hizi ni hesabu tu,MO kanunua 50% kwa Bilioni 20 ,inamaa nyingine zilizobaki ni hisa 50% ni bilion 20 ,jumla thamani ya Simba ni Billion 40,bado wathamini wengine au hujajifunza hesabu eka za darasa la saba .Madrid upande wa mavazi anakula pound mil 85 (sawa na dola 140+) kwa mwaka ,gawanaya na dola milion 25 alilolipwa Mayweather unakuja gundua mayweather anaingia mara approx 6 si umeona utofauti.Sawa apply this technic to Kiba and Simba kama hujapata hela aliyolipwa KIBA haivuki mil 20.THAMANI ya kitu ndio indetermine ulipwe sh ngapi mimi sina roho hiyo unayosema ww ,ila nimekataa kudanganyana hapa na nimechambua hapo kimahesabu zaidii na si kiushabiki kama ww unavyotizama.
 
Mbona hii harusi ina promo zisizo na kichwa wala miguu? Hivi huyo ndio wa kwanza kuoa?
king acha watu wafanye biashara halali kwa kupitia brand za majina yao.

hapo kwa ninavyo wakua azam tv, watapiga mpunga wa kutosha kwenye subscription. watu wengi watajiunga kwenye vifurushi vya azam tv ili waotazame hiyo harusi. it's strictly business.
 
Wqjinga ndo waliwao
 
Mna hasira kama una share kwny hiyo hela. Tatzo team kiba kila kitu mnatakaga kushindana na domo, domo hizo hela anatengeneza daily kupitia mikataba yake mbali mbali. Kama joti harusi ilionyeshwa kupitia Azam iweje kwa kiba iwe kitu cha kushangza. Umeombwa ushahid wa maneno yako siyo kubwabwaja.
 
Sifanyi kazi azam nina lundo la washkaji wapo pale ,wanapiga kazi na ndio maana nakukatalia na najua mpaka payment ya baadhi ya vipindi pale,usitake nifunguke sana.
Funguka kaka wamepltuchosha na mauongo yao.
 
Acha uongo hiyo show Alikiba alipwi chochote kile hahahahhaha hana hadhi ya kulipwa hiyo hela....
 
Hivi washaanza kurusha hio harusi live au vipi maana sijaona popote pale
 
Mambo ni fireeeeeee!!ndani ya Azam wamevaa kiheshima mpk rahaa
Wabongo mjifunze kuvaa vizurii!!magauni mazuri ya heshimaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…