Harusi ya Nandy na Billnas ni Juni 25, 2022

Nitapongeza baada ya miezi sita kupita baada ya kufunga ndoa.
 
Zamarad akiangalia alikua anashera na nandy
haamin[emoji2][emoji2]
 
SI wanasema jasiri muongoza njia alishaungua kitambo Sasa nandy hajaungua au zana zilihusika mda wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…