Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Umemaliza, japo inaonekana ujumbe wa mtu mwenye maumivu ya ndoa.Ndoa ni utapeli wenye mashahidi
Wazinzi wanaenda kubariki , si ndoa, ni sherehe ya harusi.Ndoa na iheshimiwe na watu wote!
uume na uke vinapokutana baada ya ndoa nidio tendo la ndoa, kabla yahap , haijalishi miaka mingapi ni wazizni wawili walio kubuhu.Hata hizo ndoa za bomani huchangiwa mjuba. Halafu usiseme wamezini, hapo hakuna uzinzi, ni mtu na mke wake wanatetekeleza tendo la ndoa sawa na wanandoa wengine tu walioenda kanisani/msikitini kufungishwa ndoa. Tendo ni lile lile na ladha ni ile ile, msiseme ule ni uzinzi
🏃🏃🏃Ndoa ni utapeli wenye mashahidi
sheria ni setting mind tu mjuba, kujamiana kupo palepale bila kujali wajamianaji wamefunga ndoa au la. Hakuna uharamu hapo, hilo ni tendo la kibayolojia kwa viumbe hai hujamianauume na uke vinapokutana baada ya ndoa nidio tendo la ndoa, kabla yahap , haijalishi miaka mingapi ni wazizni wawili walio kubuhu.
Sheria ya ndoa ya 1971, nayo haiwatambu kama wanandoa ila wazinzi wanaoishi pamoja, mda wowote unaweza kuichapa ya jirani bila kesi maana ni wazinzi.
ndio na iheshimiwe, ila msiwaone wanaojamiana bila kufunga ndoa kuwa ni wazinzi, wazinzi ni wenye ndoa kujamiana nje ya ndoa zaoNdoa na iheshimiwe na watu wote!
Hakika...hawa watakuwa wanafanya uasherati tu....ndio na iheshimiwe, ila msiwaone wanaojamiana bila kufunga ndoa kuwa ni wazinzi, wazinzi ni wenye ndoa kujamiana nje ya ndoa zao
Waolewaje kuwapata ndio kasheshe MKUUVijana Oeni Tanzania Inahitaji Nguvu Kazi Sana
sawa kabisa, nilishazikiliza mapastari kama wawili hivi kwa nyakati tofauti wakihubiria vijana kuwa ndoa ni shughuli pevu, si ya kuikimbilia, wanasema ingekuwa umri wao unarudi nyuma wasingekuwa na haja ya kuoa, kwani ndoa zina suluba kubwa sanaMaisha ya siku hizi hayahitaji sana ndoa ili uanze kufanya maisha au kujenga familia, tofauti na wazee wetu wa zamani.
wafanyaje sasa? Mtawaita majina mabaya lakini maisha yao yanaendelea. Mbususu inachakatwa kama kawaidaHakika...hawa watakuwa wanafanya uasherati tu....