Hivi haiwezekani kweli watu wakafanya harusi Yao wao wenyewe na watu wao wachache Sana, harusi isiyo na gharama za ajabu ajabu sijui miziki, gharama za MC na ukumbi, misosi tani kumi nk... kwasababu Mimi naona mbona harusi anayeoa Tu peke Yake anaweza yeye mwenyewe kuandaa hiyo harusi bila kuchangiwa hata wa Mia mbovu na watu!.