Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Aisee harusi zina vikorombwezo vya ajabu ajabu sana ndio vinapelekea kusumbuana na msg za michango na kuingia madeni wanandoa. Mfano:

1. Kukodi ukumbi - Mil 4
2. Mapambo - Laki 5
3. Music - Mil 1
4. MC - Laki 5
5. Cameraman - Laki 5
6. Kukodi magari ya maharusi Mil 1
7. Coaster za ndugu - Laki 5
8. Eti kukodi fucken maids. Is like kukodi watu waje kulia msibani.. - Laki 1 kila mmoja
9. Vazi la bi harusi. - Laki 5
10. Saloon kwa bwanaharusi, msaidizi, bi harusi na msaidizi - Laki 5

Hapo tu tayari Mil 15 kwa kujibana sana.

Tuache issue za msingi kama vyakula na vinywaji nk. Haichelewi kufika Mil 5+

Kwahiyo bila Mil 20 hutoboi.
 
Baada ya miaka miwili kila siku safari kwenda kwenye Mabaraza ya Kata kusuluhisha ugomvi, Mahakamani kudai talaka.
 
Baada ya miaka miwili kila siku safari kwenda kwenye mabaraza ya kata kusuluhisha ugomvi, Mahakamani kudai talaka.
ishakuwa fasheni mjuba, watu wanafunga ndoa leo usiku wanachakatana na asubuhi wanaachana! Kinachoudhi ni kwa nini walichangisha watu michango ya harusi halafu waachane? Kuna wengine wameachana huku tayari mama ni mjamzito na wengine wana watoto kabisa. Unakuta binti mdogo kaacha bwana au kaachwa na mume wake, kuolewa tena inakuwa shughuli pevu hadi avunje ndoa ndio awe huru kuolewa tena, la sivyo ataolewa gizani
 
Hatari sana.

Ndio maana sisi wengine hatutoi michango ya harusi, Bora wanune tu.
 
Aisee harusi zina vikorombwezo vya ajabu ajabu sana ndio vinapelekea kusumbuana na msg za michango na kuingia madeni wanandoa. Mfano:

1. Kukodi ukumbi - Mil 4
2. Mapambo - Laki 5
3. Music - Mil 1
4. MC - Laki 5
5. Cameraman - Laki 5
6. Kukodi magari ya maharusi Mil 1
7. Coaster za ndugu - Laki 5
8. Eti kukodi fucken maids. Is like kukodi watu waje kulia msibani.. - Laki 1 kila mmoja
9. Vazi la bi harusi. - Laki 5
10. Saloon kwa bwanaharusi, msaidizi, bi harusi na msaidizi - Laki 5

Hapo tu tayari Mil 15 kwa kujibana sana.

Tuache issue za msingi kama vyakula na vinywaji nk. Haichelewi kufika Mil 5+

Kwahiyo bila Mil 20 hutoboi.
Maamuzi yako mkuu
Hata ukiwa na million tano unafanya private party na inabamba tu
 
Back
Top Bottom