Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Acha kuisingizia dini… harusi ni jambo lenu wahusika, chagueni namna nzuri ya kulifanikisha. Ndoa pekee haimalizi hata 1mNdoa za wakristo ni tabu tupu kuna muda nawaza kubadili dini niwe mjukuu wa mtume tu(hawana mambo mengi linapokuja jambo la ndoa sema sasa talaka zao zinavyotolewa kama njugu,nguvu inaisha kabisa).
Imagine ushatoboka 20+m mtoto wa mtu baada ya mwezi anaanza mauza uza(kataa ndoa kuna muda wanabeba point za bure tu)