Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

Ndoa za town kila kitu ni fake, kuanzia mionekano ya wanandoa(wanajipiga filters mpaka sura zinabadirika chunguza picha za wanandoa 90% utagundua kitu), wanandugu/marafiki wenye upendo feki, bado wanafeki dini/makanisa/dhehebu ili kurahisisha ufungwaji wa ndoa kwa pasta,

Haiwezekani wanandoa ambao kipato chao kwa mwezi hakizidi 2milion lkn wanataka harusi ya zaidi ya 10milion kwa furaha ya usiku mmoja.

Sijamaliza, hivi mfano kila mwanandoa angekuaa anajihudumia hizo gharama za harusi wangekuwa na uchungu kweli wa kuachana?, ama hizo pesa badala ya kugharamia sherehe ya usiku mmoja wangezipeleka ktk mambo ya muhimu mnadhani hata ndoa ningekuwa zinavunjika kirahisi?.

90% ya wanandoa baada ya ule usiku FEKI kuisha wanayarudia maisha yao ya kifukara kwa kasi kubwa huku wakiandamwa na madeni kila kona, sababu ya kufeki vitu vilivyo nje ya uwezo.

Tuachane na haya masherehe yasiyo na tija
Kuna ng'ombe moja iliplan gauni la laki nane na gari ya bi harusi ni vogue wakati biashara anayofanya ni kuuza juice na maji ..kipato chake hakifiki hata laki nne kwa mwezi.mzee wake mwnyewe hata ist Hana.. nikaona huu ni upuuzi nikapiga chini.
 
Ongeza idadi kidogo,weka bajeti ya watu 100
1. Ndugu upande WA mke 20
2. Ndugu upande wako 20
3. Watu baki(wafanyakazi wenzako,majirani,jamaa na marafiki zako na mkeo) wawe 50
4.wazamiaji 10
Mambo yanakuwa mukide mukide!!!
Mi hata wakifika mamilioni ni poa tu..nafunga ndio kanisani tukimaliza zoezi linalofata ni kupiga picha hapo kanisani baada ya hapo nasepa na mchumba kizimkazi tukatengeneze watoto..kifupi harusi inaishia palepale church.atakaye amua kutupongeza sawa na Ambaye hata tupongeza pia sawa..labda Cha zaidi nikitoka kizimkazi naweza kuplan dinner nyumbani kwa wazee wangu tuka invite watu wachache sana tena wale wakaribu mno kwenye circle yangu.wale ambao hata ukiwa na shida wanaiona kama yao.hata ndugu Ambaye sio msaada kwangu asisogee eneo Hilo.
 
Itakuwa ya kibabe Sana,sherehekea hata na watu wachache tu hapo nyumbani!
 
Itakuwa ya kibabe Sana,sherehekea hata na watu wachache tu hapo nyumbani!
Yes unashusa dinner moja safi sana na chupa za moet za kutosha,,chama choma ni Bata mzinga sio tena mbuzi..alafu watakaohusika ni wale real blood wale washkaji kindakindaki..mambo ya mjomba wa makete au baba mdogo wa simiyu sitaki kuyaskua kabisa.
 
Inakuwa unyama Sana!!🤗🤗🤗🤗🤗
 
Back
Top Bottom