Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

Aisee harusi zina vikorombwezo vya ajabu ajabu sana ndio vinapelekea kusumbuana na msg za michango na kuingia madeni wanandoa. Mfano:

1. Kukodi ukumbi - Mil 4
2. Mapambo - Laki 5
3. Music - Mil 1
4. MC - Laki 5
5. Cameraman - Laki 5
6. Kukodi magari ya maharusi Mil 1
7. Coaster za ndugu - Laki 5
8. Eti kukodi fucken maids. Is like kukodi watu waje kulia msibani.. - Laki 1 kila mmoja
9. Vazi la bi harusi. - Laki 5
10. Saloon kwa bwanaharusi, msaidizi, bi harusi na msaidizi - Laki 5

Hapo tu tayari Mil 15 kwa kujibana sana.

Tuache issue za msingi kama vyakula na vinywaji nk. Haichelewi kufika Mil 5+

Kwahiyo bila Mil 20 hutoboi.
Sijaona chakula hapo

Gharama za mc umeweka wale ma mc wa bei ya jioni karibu na giza.

Haujaweka gharama za harusi
 
Natamani ninge share picha zangu za harusi.
Mchango wa kadi ulikua ni 5,000.
Harusi haiku zidi milioni 2 , ingawa hakukua na pombe ila hamna aliye rudi nyumbani bila furaha!
Ninacho kumbuka baada ya yote nilibakiwa na 40,000.
Hio ni miaka 10, iliyo pita.
 
Harusi zenyewe zimepoteza kabisa maana ya harusi yaani ni upuuzi upuuzi tu. No wonder hata ndoa zenyewe ni tafrani.
 
Kuna mwingine kaka yake anaoa kadi single 75k na double 150k
Nimemwambia upuuzi huo sifanyi ndoa yangu nitafunga saa 12 asubuhi eti kaninunia 😀😀😀
 
Kuna mwamba ndugu zake walitaka kumfanyia harusi hizo. Bajeti ilikuwa 30m+,mhuni akaongea na mweka hazina akachukua 15m akanunua kiwanja goba kulangwa then akampooza mhazini 3m..ulikuwa mtiti mrefu wa kifamilia.ila mwamba akafanya harusi moja Kali sana. Alifanyia kwenye garden ya mjomba wake huko kijichi..no mapambo no MC Wala nini..mwendo wa misodi mingi na bia tu
Huyu ana akili sana, huwezi kupoteza 30m kwa ujinga wa siku moja. Walau kanunua kiwanja, tena Kulangwa ni sehemu moja nzuri sana, pale Half London sio poa hata kidogo...
 
Mi ndoa yangu nimeplan isizidi 5M na mahari hukohuko ndani, hamna ukumbi, pombe wala mziki, na sitaki mchango wa mtu wala mimi sichangii harusi ya mtu.

Hiyo budget uliyoandika hapo pesa nyingi utakuta ni za kuomba michango , na ukichangiwa ujue na wewe lazima uje uchangie wenzako kwahiyo maisha baada ya hapo ni simu za michango kila siku.

Mi kuna mpuuzi aliniunganisha kwenye grp lake la harusi anataka michango nikajitoa kwenye grp akafuta namba zangu na mimi nikafuta zake, michango kibao ila ndoa haikutoboa miaka miwili
Basi kwenye harusi yako, utakuwa na Ndugu zako pekee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Chagua wa standard yako… hawezi kukujibu hivyo
Kwamba wanawake wapo standard tofauti tofauti😄😄😄😄😄😄, kwanini mnapenda kuji-proud? ilihali wengi wenu ni wanuka mikojo na wachafu wachafu?

Wanawake bhana🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Tatizo wao wamezoea harusi za kufanyia ukumbi wa kanisa, hapo lazima ulishe na kuwanywesha uliowaita..!!

Halafu wakishiba wanakupa zawadi ya bahasha ndani wameweka buku 😹😹
😂😂😂😂😂
Niliwahi kukataa kuwa mwana kamati, kisa hizi njegeka za mapene, ni unachunika haswaaa.
Lol 😂😂😂😂😂
 
Kuna mwingine kaka yake anaoa kadi single 75k na double 150k
Nimemwambia upuuzi huo sifanyi ndoa yangu nitafunga saa 12 asubuhi eti kaninunia 😀😀😀
😂😂😂😂😂
 
kama hutaki mambo mengi kwenye sherehe yako basi usiwe na kamati jichange chagua watu wako baadhi wape majukumu na pesa hapo utaamua unachotaka ila ukishaweka kamati jua sio maamuzi yako tena maana unachangiwa
 
Ulifanyaje hadi 2m ikatoshea na chenji kubaki 😁
Hatukufanya sherehe yoyote kwakweli, tulitoka kanisani tumepiga picha zote za ukumbisho hapohapo, hakuna aliekula wala aliekunywa baada ya harusi kila mtu alienda kwao, baada ya hapo kwa gari, tulikodi nyumba nzima mwezi mmoja tulienda huko lakini tulikaa wiki2 tu tukarudi mjini kubeba boksi
 
Ukikaa ukatafakari kwa kina utagundua tukio zima la sherehe ya harusi ni la kitoto sana

Ujinga zaidi ni pale bwana harusi anapofanya sherehe ya kumuoa mwanamke ambaye kashatumika

Kweli malaya wa kumfanyia sherehe?
 
Halafu michango tunasumbuana hatari hatari,
Kila mtu afanye shughuli kwa bajeti yake, kwa uwezo wake.
 
Back
Top Bottom