Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

Acha ubahili bwana harusi🤗🤗🤗🤗
All in all
Unaweza kufanya harusi ya kizungu Tu,unaandaa Kila kitu mwenyewe simple Tu then Unaalika watu wachache wanakuja mnasherehekea pamoja kwisha!!
 
Ukija kuangalia sana utagundua sherehe ni mambo ya kike.

Wanawake ndio wamesababisha harusi ziwe na mambo ya hovyo hovyo kama maids, mapambo, sijui saluni, keki, picha nk. Hata ukienda kwenye sherehe wanao enjoy ni wanawake. Sisi wanaume hua tumekaa tu tunawaza saa ngapi itaisha tuondoke zetu.
 
Unaweza kufanya harusi ya kizungu Tu,unaandaa Kila kitu mwenyewe simple Tu then Unaalika watu wachache wanakuja mnasherehekea pamoja kwisha!!
Tatizo ni nyie wanawake. Sisi wanaume hatuna shida...!

Ukitaka kufanya hivyo;

1. Mama yako anaanza kukuambia mimi nimeshachangia watu wengi lazima namimi wanichangie.
2. Mara nina vikundi vingi tunashirikiana watanielewaje nisipowaalika
3. Huku madada zako, mashangazi, mama wadogo nao wanakuja juu
4. Mke mtarajiwa nae anadai mi siwezi kuolewa kinyonge 🙄
 
Huwalipi wewe wanalipa kamati, kuna zile kamati ndogondogo kuna kamati ya burudani, humo wapo na maids ili kuchangamsha sherehe..!!

Na hao maids wanalipa kamati ili wapewe huo mchongo.
Wanachezaje, wanakatika au? maanake cheza ya harusi huwa hainogi. Kizunguzungu bridesmaids ni watu wa karibu wa bibi harusi na hawalipwi.

Waswahili mnazidi kubuni njia za kupiga hela.
 
Ndoa za wakristo ni tabu tupu kuna muda nawaza kubadili dini niwe mjukuu wa mtume tu(hawana mambo mengi linapokuja jambo la ndoa sema sasa talaka zao zinavyotolewa kama njugu,nguvu inaisha kabisa).

Imagine ushatoboka 20+m mtoto wa mtu baada ya mwezi anaanza mauza uza(kataa ndoa kuna muda wanabeba point za bure tu)
 
Acha ubahili bwana harusi🤗🤗🤗🤗
All in all
Unaweza kufanya harusi ya kizungu Tu,unaandaa Kila kitu mwenyewe simple Tu then Unaalika watu wachache wanakuja mnasherehekea pamoja kwisha!!
Lakini kweli hii
 
Hizi harusi za kifahari, anasa na mbwembwe nyingi ifike muda mwenye harusi ajigharamie mwenyewe kufanya sherehe na karamu yake na sio kutegemea achangiwe. Unakuta mtu unamuuliza unataka kufanya harusi ya bajeti anataja mamilioni ya fedha huku yeye hana hata robo, mwingine anabebwa na kampani ya watu wa wazazi wake wanabebesha mzigo kwa ndugu, jamaa na marafiki wagharamikie harusi hiyo, ni usumbufu mtupu
 
Back
Top Bottom