Mi ndoa yangu nimeplan isizidi 5M na mahari hukohuko ndani, hamna ukumbi, pombe wala mziki, na sitaki mchango wa mtu wala mimi sichangii harusi ya mtu.
Hiyo budget uliyoandika hapo pesa nyingi utakuta ni za kuomba michango , na ukichangiwa ujue na wewe lazima uje uchangie wenzako kwahiyo maisha baada ya hapo ni simu za michango kila siku.
Mi kuna mpuuzi aliniunganisha kwenye grp lake la harusi anataka michango nikajitoa kwenye grp akafuta namba zangu na mimi nikafuta zake, michango kibao ila ndoa haikutoboa miaka miwili