LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
mjuba siku hizi waislam nao wanafanya harusi za anasa na ghali kama wale ndugu. Wanakodi ukumbi, shoo kama zote, misosi ya gharama kila meza watu watano, wanapiga pamba kali za kidunia, unaweza usione hijabu, mitandio, kanzu, baraghashia wala uislam ukumbini harusi inakuwa ni ya kimagharibi full mzuka. Kuna wakati nilidhani harusi ni ya kimagharibi kumbe ni ya kiislam maana sikuona uislam ukumbini hata chembeKote hakuna ulazima wa kufanya hayo,ila asili ya tukio lenyewe ndio linafanya hata hawa waislam waliokuwa hawafanyi nao kuanza kufanya.
Hapo unapoanza kuhalalisha mchele,mbuzi na dufu ndio mwanzo wa safari hiyo ya gharama isiyo na kikomo kutegemea tu uwezo wa maharusi.