Baada ya miaka miwili kila siku safari kwenda kwenye Mabaraza ya Kata kusuluhisha ugomvi, Mahakamani kudai talaka.Aisee harusi zina vikorombwezo vya ajabu ajabu sana ndio vinapelekea kusumbuana na msg za michango na kuingia madeni wanandoa. Mfano:
1. Kukodi ukumbi - Mil 4
2. Mapambo - Laki 5
3. Music - Mil 1
4. MC - Laki 5
5. Cameraman - Laki 5
6. Kukodi magari ya maharusi Mil 1
7. Coaster za ndugu - Laki 5
8. Eti kukodi fucken maids. Is like kukodi watu waje kulia msibani.. - Laki 1 kila mmoja
9. Vazi la bi harusi. - Laki 5
10. Saloon kwa bwanaharusi, msaidizi, bi harusi na msaidizi - Laki 5
Hapo tu tayari Mil 15 kwa kujibana sana.
Tuache issue za msingi kama vyakula na vinywaji nk. Haichelewi kufika Mil 5+
Kwahiyo bila Mil 20 hutoboi.
ishakuwa fasheni mjuba, watu wanafunga ndoa leo usiku wanachakatana na asubuhi wanaachana! Kinachoudhi ni kwa nini walichangisha watu michango ya harusi halafu waachane? Kuna wengine wameachana huku tayari mama ni mjamzito na wengine wana watoto kabisa. Unakuta binti mdogo kaacha bwana au kaachwa na mume wake, kuolewa tena inakuwa shughuli pevu hadi avunje ndoa ndio awe huru kuolewa tena, la sivyo ataolewa gizaniBaada ya miaka miwili kila siku safari kwenda kwenye mabaraza ya kata kusuluhisha ugomvi, Mahakamani kudai talaka.
Hatari sana.ishakuwa fasheni mjuba, watu wanafunga ndoa leo usiku wanachakatana na asubuhi wanaachana! Kinachoudhi ni kwa nini walichangisha watu michango ya harusi halafu waachane? Kuna wengine wameachana huku tayari mama ni mjamzito na wengine wana watoto kabisa. Unakuta binti mdogo kaacha bwana au kaachwa na mume wake, kuolewa tena inakuwa shughuli pevu hadi avunje ndoa ndio awe huru kuolewa tena, la sivyo ataolewa gizani
🤣Mchakato mzima wa harusi ni wa kipuuzi
Sawa madam, ila serious nawalipa watu waje kwenye harusi yangu? Maids?Wewe hujawahi kuwa mwanakamati, hizo pesa kamati inachangia na pesa inayobaki unapewa km zawadi..!!
Pesa pekee ambayo utaitoa ni ile ambayo itanunua nguo zako na bi harusi tu..!!
Maamuzi yako mkuuAisee harusi zina vikorombwezo vya ajabu ajabu sana ndio vinapelekea kusumbuana na msg za michango na kuingia madeni wanandoa. Mfano:
1. Kukodi ukumbi - Mil 4
2. Mapambo - Laki 5
3. Music - Mil 1
4. MC - Laki 5
5. Cameraman - Laki 5
6. Kukodi magari ya maharusi Mil 1
7. Coaster za ndugu - Laki 5
8. Eti kukodi fucken maids. Is like kukodi watu waje kulia msibani.. - Laki 1 kila mmoja
9. Vazi la bi harusi. - Laki 5
10. Saloon kwa bwanaharusi, msaidizi, bi harusi na msaidizi - Laki 5
Hapo tu tayari Mil 15 kwa kujibana sana.
Tuache issue za msingi kama vyakula na vinywaji nk. Haichelewi kufika Mil 5+
Kwahiyo bila Mil 20 hutoboi.
acha watu wale maisha, si wanachangaMkuu, uvivu tu wa kufanya kazi. Yaani wanacheza tu basi.