7ve
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,458
- 4,000
Sija kukatalia mkuu yawezekana ulikuwa kwenye jeshi la wokovu lile silaha yake ni kitabu kitakatifu cha Biblia ila kwenye lile jeshi la kutumia silaha za moto risasi baridi ukipiga kwenye silaha nyingi za semi automatic ukipiga risasi lazima ganda libaki ndani na una litoa kwa ku ikoki tena silaha hauwezi kupiga mfululizo kama risasi za moto.Mimi nilikuwa mwanajeshi na tulizitumia sana blancs kwenye mafunzo mbinu ya medani (Battlefield tactics). Nazijua sana.