7ve
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,458
- 4,000
Mkuu unajua blanks zinavyo pigwa kwenye silaha au ujui tukufahamishe.Nafikiri hapo walikuwa wanachezea blancs tu; kwa risasi za moto, hapo kuna watu wangejeruhiwa kwa vile kuna waliokuwa wanashika bunduki hizo bila kujua ugumu wa recoil yake.
Na mimi sasa harusi yangu ijayo mimi nitaiandaa hivyo hivyo ila kwa risasi za moto kwelikweli.
Ukikutana na wanawake wa kisomali ughaibuni, huwa hawapendi kuitwa wasomali, bali huwa wanajitambulisha kuwa ni Wakenya. Mara chache sana wataweza kukuambia kuwa ni waethiopia.