Harusi za Wasomali ni nusu vita

Harusi za Wasomali ni nusu vita

Zitakuwa za moto. Umeona mmoja anamuelekeza mwenzake aelekeze juu.
Ni blanks hizo; aliyekuwa anamwonyesha mwezie aelekeze bunduki hewani ni kuzuia blanks hizo zisichome watu kwa vile blancs kwa umbali mfupi huwa zinachoma moto.

Risasi ya moto ukielekeza juu utapa reflection ya shockwave; ambayo husikii kwenye hiyo milipuko.
 
chaaaaaa charii hii kitu aa hapana chezea mutu hapa hii ni girl ya huko Juba kwa Salva kiir sitaki hata ukinipea bure walaah!
Niambie mjuba,hii hata hapo wakei ipogi hii,iko maeneo inaitwaga samburu huko njia ya kuelekea sehemu moja inaitwaga mararai iko kabila moko ianitwa pokot,unakutana na dogo anachunga mangishu anae AK47,yani kwao ni kama fimbo wanayotumia machali wakiwa machungani hapo oldonyo.

Na ukitaka kuoa hiyo ndo manzi Wa kupita nae hivi chalii yanguu.
 
Nafikiri hapo walikuwa wanachezea blancs tu; kwa risasi za moto, hapo kuna watu wangejeruhiwa kwa vile kuna waliokuwa wanashika bunduki hizo bila kujua ugumu wa recoil yake.

Na mimi sasa harusi yangu ijayo mimi nitaiandaa hivyo hivyo ila kwa risasi za moto kwelikweli.

Ukikutana na wanawake wa kisomali ughaibuni, huwa hawapendi kuitwa wasomali, bali huwa wanajitambulisha kuwa ni Wakenya. Mara chache sana wataweza kukuambia kuwa ni waethiopia.
samahani mkuu hivi wasomali ndo hao hao waethiopia
 
Sisi kwetu muoaji unapelekwa kwa chifu unavuliwa nguo alafu unamwagiwa maji ya baridi (kama yale yanayoanza kuganda)alafu mwanamke wako analetwa anaambiwa akuchezee dushe ndani ya sekunde 12 lisipoamka my braza mke hupewi unaambiwa mizimu imekataa[emoji2][emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom