Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Hamuonjani kabla?Sisi kwetu muoaji unapelekwa kwa chifu unavuliwa nguo alafu unamwagiwa maji ya baridi (kama yale yanayoanza kuganda)alafu mwanamke wako analetwa anaambiwa akuchezee dushe ndani ya sekunde 12 lisipoamka my braza mke hupewi unaambiwa mizimu imekataa[emoji2][emoji2]