Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamerikani walikuja Somalia kutengeneza soko la silaha!!! Wamefanikiwa.
Ntatembelea siku moja hukoWakenya na ujanja wote lakini matajiri wa Nairobi ni Wasomali.
Hao unaowaona kwenye hiyo harusi sio Wasomali, hao ni Wayemen, hapo ni Yemen sio Somalia.
Mnaonjana ila kuoana lazima ipitie kwa chifu wa mila ahakiki kwanzaHamuonjani kabla?
Kenya kuna wasomali wengi?
Ibinu kuti kavu karibu na sisimizi kilima nyegeWapi huko Urusi au Makete [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Everyday is Saturday................................😎
Wasomali kibao wanapiga biashara za kawaida ka kupika viazi /bagia na hata maduka ya leso na khaga Mombasani hapa. Wenye kuishi maisha ya vacation mbele mbele ni wale wameozwa au kuoa kwenye familia dingi wenyewe kwa wenyewe. UK wako wengi tu!wanajiuza kwa sabau wamekosa watu wenye pesa wa kuwaweka ndani. Usitegemee uoe msomali akafanye Mama Ntilie kama mwanamke wa Kisambaa
Chaaaaaa charii hii kitu aa hapana chezea mutu hapa hii ni girl ya huko Juba kwa Salva kiir sitaki hata ukinipea bure walaah!Huyu sijui atakuwa Wa south Sudan, ama pokot ya Kenya.View attachment 1715287
Kwanini Mkuu?Chaaaaaa charii hii kitu aa hapana chezea mutu hapa hii ni girl ya huko Juba kwa Salva kiir sitaki hata ukinipea bure walaah!
Matajiri kwa masikini wanajiuza, tofauti ni namna tuHapana.kujiuza ni alama ya UTAJIRI
Matajiri kwa masikini wanajiuza, tofauti ni namna tu
Imepenya Kwa bwana harusi 🤣🤣🤣😂😂😂 mara Bahati mbaya risasi zinapenyaa kwa watu.
Hatari kweli.
Achana na msomali anapeleka biashara mahali anapanga kachumba maisha duni lakini anafanya biashara za pesa kubwa na matumizi Yao ni madogo, anaangalia anachoingiza akitumika kidogo.Mbona wanatuuzia vitumbua, chapati na naan kariakoo?
Umeambiwa kenta kuna wasomali wapatao 500,000Kenya kuna wasomali wengi?