Sija kukatalia mkuu yawezekana ulikuwa kwenye jeshi la wokovu lile silaha yake ni kitabu kitakatifu cha Biblia ila kwenye lile jeshi la kutumia silaha za moto risasi baridi ukipiga kwenye silaha nyingi za semi automatic ukipiga risasi lazima ganda libaki ndani na una litoa kwa ku ikoki tena silaha hauwezi kupiga mfululizo kama risasi za moto.Mimi nilikuwa mwanajeshi na tulizitumia sana blancs kwenye mafunzo mbinu ya medani (Battlefield tactics). Nazijua sana.
Mkuu samahani kanda ya ziwa ina mikoa kadhaa..hebu tusaidie ni mkoa gani hawa wasomali hupatikanaHata Tanzania kuna wasomali tele,mikoa ya kanda ya ziwa wasomali wengi tu.Zamani walikuwa wanamiliki FIAT lorry. Unakuta kasomali kembamba kanagombana na usukani wa fiati, kana lundo la mirungi.Af daraΓ€ni pangu pakavu walikuw kama wanalazimishwa shule vile.Nimewamisi sana rafiki zangu wa kisomali Orya,Orya!!. da,one day i will be back to lake zone.
Wafugaji wote Afrika akili zao zinafana.Ukichunguza hii makala utaona wamasai na wasukuma kwa karibuuu.Kuna mila Afrika inabidi tuziache kama wenzetu walioendelea.Ngamia ishirini unategemea huyo binti atabkuwa salama kweli!!
Unaishi mwanhunze mkuu utawaona wapi wasomali.Wasomali wanaishi uswahilini.Bahati mbaya mafiati siku hizi yamekufa ningekwambia tembea mijini ukikuta fiati hapo kuna wasomali.Kahama wapo,shunyanga wapo, mwanza wapo.We unaona wasomali kama wazungu eti? Wasomali wamesambaa kama waafrika wengine walivyosambaa.u we unawachukulia wasomali kuwa warabu?Mkuu samahani kanda ya ziwa ina mikoa kadhaa..hebu tusaidie ni mkoa gani hawa wasomali hupatikana
Inategemea hizo blanks unazojua wewe; most likely unajua blanks za plastic zinazotimika kwenye rifle tu, hivyo hujui kuwa kuna blanks za machine gun. Ndiyo maana unasema semi-automatic (Rifle) -SAR. Hata huna habari na blanks zinazotumiwa na wacheza sinema za kivita kwa mfano. Bila showkwave ya risasi ujue hiyo ni blank tuSija kukatalia mkuu yawezekana ulikuwa kwenye jeshi la wokovu lile silaha yake ni kitabu kitakatifu cha Biblia ila kwenye lile jeshi la kutumia silaha za moto risasi baridi ukipiga kwenye silaha nyingi za semi automatic ukipiga risasi lazima ganda libaki ndani na una litoa kwa ku ikoki tena silaha hauwezi kupiga mfululizo kama risasi za moto.
Mkuu kwa mtazamo wangu Wasomali wako Karibu sana na Wabarbaig Wairaqwi na Wataturu hawana asili na Waarabuwe unawachukulia wasomali kuwa warabu?
JF huwa ni kubisha bisha tu.Akina Ory
Kweli mkuu, ila nimemjibu tu kiutani huyo jamaa7ve maana simuelewi yani hajawahi ona wasomali mwanza? Nyanda za juu ndio ngumu kuwaona japo kuna kijiji nimewakuta huko mbeya sitakitaja hapa.Mkuu kwa mtazamo wangu Wasomali wako Karibu sana na Wabarbaig Wairaqwi na Wataturu hawana asili na Waarabu
Naona Unawalisha Matango Pori Wana Jamii forums... hapo kwenye Video hakuna mtu jamii ya Kisomali hata Mmoja huo uvaaji ni wa asili ya watu wa Yemen Jambia kiunoni... Acha kuleta picha za Nchi tofauti unaziunganisha na Nchi ya Somalia ni kashfa kubwa unapeleka kwa jamii ya Kisomali.. Tubu mapemaView attachment 1715207
Maisha ya Wasomali yamejaa mikiki miki mingi tangu kuzaliwa hadi kifo. Ni watu wasioijua amani, na huenda wala hawaipendi.
Wamezaliwa na bunduki na wanakuta nazo. Misibani wanafyatua marisasi na harusini pia.
Wasomali ndio wababe wa Kiafrika, hawa walilishinda Jeshi la Marekani hadi Wamarekani wakakimbie na hawana hamu Tena ya kurudi Somalia.
Kwanini mkuu??.Mwanamke wa kisomali hata nipewe bure SIOI.
Ni wazuri sana ila Hapana
Jamaa kibali yaishe (yeshee).Mimi nilikuwa mwanajeshi na tulizitumia sana blanks kwenye mafunzo mbinu ya medani (Battlefield tactics). Nazijua sana.
Basi na wewe hujui aina ya blanks zinazotumika katika kila aina ya bunduki. Machine gun siyo bunduki ya kukokikoki, kwa hiyo blanks zake siyo kama za rifle. Inawezekana na wewe ulizowea mikuki, pinde na mishale kwa hiyo ulipoona gobore au rifle ukadhani kuwa ndiyo bunduki zote zilivyo.Jamaa kibali yaishe (yeshee).
πππ.Basi na wewe hujui aina ya blanks zinazotumika katika kila aina ya bunduki. Machine gun siyo bunduki ya kukokikoki, kwa hiyo blanks zake siyo kama za rifle. Inawezekana na wewe ulizowea mikuki, pinde na mishale kwa hiyo ulipoona gobore au rifle ukadhani kuwa ndiyo bunduki zote zilivyo.
We jamaa kabila gani mbona mbishi hivyo hivi unajua kinacho fanyanyika kwenye silaha unapo achia trigger?Inategemea hizo blanks unazojua wewe; most likely unajua blanks za plastic zinazotimika kwenye rifle tu, hivyo hujui kuwa kuna blanks za machine gun. Ndiyo maana unasema semi-automatic (Rifle) -SAR. Hata huna habari na blanks zinazotumiwa na wacheza sinema za kivita kwa mfano. Bila showkwave ya risasi ujue hiyo ni blank tu
Hilo linaweza kuwa ni tatizo la kuzowea mishale na pinde, halafu siku ukikutana na rifle na blanks zake ukadhani kuwa bunduki zote zinafanana hivyo tu. Hao unaowaona hapo wanatumia submachine gun (AK47) kwa hiyo hawawezi kuwa wanatumia blanks za rifle za kushoot na kucock.
Aisee mitutu inatumika kama matarumbeta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo ni darasa la AMMO101- ninalijua sana, nadhani wewe umezowea yale mafunzo ya mgambo kuwa pressure ndani ya return spring mechanism inatoka pale mbele kwenye muzzle (long recoil), hujui kuwa reloading mechanism ya machine gun nyingi hutokana na pressure ya kule kule kwenye firing chamber (short recoil).We jamaa kabila gani mbona mbishi hivyo hivi unajua kinacho fanyanyika kwenye silaha unapo achia trigger?
Basi ngoja nikupe darasa kidogo yaani unapo piga risasi kuna kitendo cha mitambo kwenda mbele na kurudi nyuma maana kuna kuwa na presha ya kutosha kwenye risasi ya moto sasa hapo mitambo inapo rudi nyuma ina chukua risasi nyingne na kuiweka chemba tayari kwa kuipiga.
Ila unapo tumia risasi ya baridi inakuwa haina kitu ndiyo maana ya blanks na haina baruti ya kutosha ya kuiwezesha mitambo kwenda mbele na kurudi nyuma hivyo ukisha piga risasi ya kwanza itabidi uirudishe tena mitambo nyuma ili risasi iweze kuingia chemba.
Ila unaweza ku i modify silaha kwa kuifungia kitu kwa mbele tuna ita BLACK FIRING ADAPTER (BFA) mbele ya mtutu wa silaha au muzzle cap ili kuipa presha ya kutosha silaha ikafanya mitambo iende mbele na kurudi nyuma.
Ila kwa kifupi tu blanks haina uwezo wa kuifanya silaha ifanye mapigo ya mfululizo kama risasi ya moto labda ufunge BFA.
[emoji87][emoji87][emoji87] sijui hata una ongea vitu gani nadhani una nena kwa lugha ndiyo maana nime kwambia wewe ulikuwa jeshi la wokovu nenda ka Google search kitu kina itwa BLANKS FIRING ADAPTER uje uniambie kina kazi gani nime choka kuku elewesha au pitia hii linki chini ujue tofauti ya risasi za moto na risasi za baridi. Ila mimi nime maliza na kufunga darasa.Hilo ni darasa la AMMO101- ninalijua sana, nadhani wewe umezowea yale mafunzo ya mgambo kuwa pressure ndani ya return spring mechanism inatoka pale mbele kwenye muzzle (long recoil), hujui kuwa reloading mechanism ya machine gun nyingi hutokana na pressure ya kule kule kwenye firing chamber (short recoil).
Unaogopa kutembelea ukweni Mkuu!?Mwanamke wa kisomali hata nipewe bure SIOI.
Ni wazuri sana ila Hapana
Sure. Ngoma Yemenia hiyo. Somalia hawana huo muda wa kupotea risasi hewaniLugha, lafudhi, mavazi, mazingira. Hiyo clip ni ya kitambo tu