Hasara ambazo taifa linaingia kwa kesi ya lisu!!. Mamilioni yanateketea kwa jambo ambalo halina uhalisia.

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Hii kesi ya ndugu lisu ni kesi inayopoteza fedha za walipa Kodi zilizopaswa kuelekezwa kwenye maendeleo.
Nikiwa naandika hapa kuna watoto hawana madawati kuna hospital hazina dawa, kuna maeneo hayana maji kama hapa goba ninapoishi tangu October hatuna maji, kuna maeneo umeme haupo haya ni kutaja kwa uchache tu.

Hii kesi ya lisu inaliingizia taifa hasara kubwa sana kama ifuatavyo.

1 upotevu wa muda = muda wa mahakama kuamua mambo ya maana unachezewa kwa makusudi kuendesha kesi batili

2 Posho kwa askari wanaosambazwa doria kwa ajili ya jambo lisilo na uhalisia

3 Mafuta ya magari na vyombo mbalimbali vya usalama kushughulika na jambo ambalo halipo

4 Kuchafua picha ya nchi kwa jumuiya ya kimataifa hivyo kupunguza Imani ya watu wanaowaza kuwekeza hapa nchini.
5 kupoteza muda wa wananchi kwa kusababisha jam njiani na kuleta taharuki na hofu bila sababu.
6 mawakili wa serikali kupoteza muda na kuhangaika na kitu ambacho nafsi zao zinajua ni cha uongo na usumbufu tu.

Hizi ni baadhi tu ya hasara ambazo taifa letu linaingia badala ya hayo mamilioni kupelekwa kutatua matatizo ya wananchi wanyonge.
 
nonsense 🐒
 
Huku umemshikia kisu yaani kesi ya Kutunga , huku unataka maridhiano. Wakati mkosa ni Kichwa- mkia
 
Fikiria yale magari yanayoshinda yanaunguruma pale kwa siku yanatumia mafuta ya shingapi
 
Hawajali hayo yote ilimradi Lissu awe mahabusu na wao wapate ahueni.Lissu ni hatari kwao CCM.Hata hivyo,kwani nani hulipa kodi zinazotapanywa?Wao haiwahusu hiyo.
 
Hii kesi ya ndugu lisu ni kesi inayopoteza fedha za walipa Kodi zilizopaswa kuelekezwa kwenye maendeleo.
Nikiwa naandika hapa kuna watoto hawana madawati kuna hospital hazina dawa, kuna maeneo hayana maji kama hapa goba ninapoishi tangu October hatuna maji, kuna maeneo umeme haupo haya ni kutaja kwa uchache tu.

Hii kesi ya lisu inaliingizia taifa hasara kubwa sana kama ifuatavyo.

1 upotevu wa muda = muda wa mahakama kuamua mambo ya maana unachezewa kwa makusudi kuendesha kesi batili

2 Posho kwa askari wanaosambazwa doria kwa ajili ya jambo lisilo na uhalisia

3 Mafuta ya magari na vyombo mbalimbali vya usalama kushughulika na jambo ambalo halipo

4 Kuchafua picha ya nchi kwa jumuiya ya kimataifa hivyo kupunguza Imani ya watu wanaowaza kuwekeza hapa nchini.
5 kupoteza muda wa wananchi kwa kusababisha jam njiani na kuleta taharuki na hofu bila sababu.
6 mawakili wa serikali kupoteza muda na kuhangaika na kitu ambacho nafsi zao zinajua ni cha uongo na usumbufu tu.

Hizi ni baadhi tu ya hasara ambazo taifa letu linaingia badala ya hayo mamilioni kupelekwa kutatua matatizo ya wananchi wanyonge.
Unakadiria kama sh, ngapi vile!
 
Pesa ndogo sana hiyo. Yaani kwa hesabu hiyo manake kwa mwezi haifiki hata 1b. Hiyo ni chini ya 0.02% ya makusanyo ya mwezi
Ina uwezo wa kuleta dawa kiasi gani Ina uwezo wa kutengeneza madawati mangapi Ina uwezo wa kukopesha GH ijana wangapi wasio na ajira na inapotea ili kuokoa nini
 
Hii ni none sense haya sasa tupe sense

Kama ninyi ndo washauri wa namna ya kuendesha nchi bas tuna matatizo makubwa sana
watuhumiwa uhalifu wa aina zote wataendelea kufikishwa mahakamani kulingana na uhalifu wao na kulingana na wito wa mahakama huru za Tanzania.

gharama zitabaki kwa watuhumiwa uhalifu wenyewe na si vinginevyo 🐒
 
Ni kwa mantiki kama hizi ndio maana serikali yetu kila ikishtakiwa mahakama za nje tunapigwa kesi zote tunashindwa.

Kwa sababu kuu badala ya kutumia logic tunaendesha mambo kwa mihemko.

Kwa mtu yeyote anayejua sheria japo kwa level ya awali tu anajua hapa hakuna kesi bali ni kusumbuana tu.
Why uteketeze fedha za walipa Kodi kwa ghost issues.
 
yaani mtuhumiwa anasota korokoroni halafu unasema hakuna kesi, hisia zingine zimejaa unafiki na imani potofu sana aise dah:pedroP:
 
Hii kesi ya ndugu lisu ni kesi inayopoteza fedha za walipa Kodi zilizopaswa kuelekezwa kwenye maendeleo.
Nikiwa naandika hapa kuna watoto hawana madawati kuna hospital hazina dawa, kuna maeneo hayana maji kama hapa goba ninapoishi tangu October hatuna maji, kuna maeneo umeme haupo haya ni kutaja kwa uchache tu.

Hii kesi ya lisu inaliingizia taifa hasara kubwa sana kama ifuatavyo.

1 upotevu wa muda = muda wa mahakama kuamua mambo ya maana unachezewa kwa makusudi kuendesha kesi batili

2 Posho kwa askari wanaosambazwa doria kwa ajili ya jambo lisilo na uhalisia

3 Mafuta ya magari na vyombo mbalimbali vya usalama kushughulika na jambo ambalo halipo

4 Kuchafua picha ya nchi kwa jumuiya ya kimataifa hivyo kupunguza Imani ya watu wanaowaza kuwekeza hapa nchini.
5 kupoteza muda wa wananchi kwa kusababisha jam njiani na kuleta taharuki na hofu bila sababu.
6 mawakili wa serikali kupoteza muda na kuhangaika na kitu ambacho nafsi zao zinajua ni cha uongo na usumbufu tu.

Hizi ni baadhi tu ya hasara ambazo taifa letu linaingia badala ya hayo mamilioni kupelekwa kutatua matatizo ya wananchi wanyonge.
Ni bora kutumia gharama kubwa kumshughulia GAIDI kwani kumlealea anaweza kusababisha hasara kubwa zaidi ya mahakamani.
 
Back
Top Bottom