Hasara ambazo taifa linaingia kwa kesi ya lisu!!. Mamilioni yanateketea kwa jambo ambalo halina uhalisia.

Ina uwezo wa kuleta dawa kiasi gani Ina uwezo wa kutengeneza madawati mangapi Ina uwezo wa kukopesha GH ijana wangapi wasio na ajira na inapotea ili kuokoa nini
Ukiwaza hivyo hutofaidi raha za dunia.
Eti sh. Milioni 1 kuwatoa out familia hutaki unawaza 1M ingenunua bati ngapi!
 
Ni bora kutumia gharama kubwa kumshughulia GAIDI kwani kumlealea anaweza kusababisha hasara kubwa zaidi ya mahakamani.

Wewe aheri ungejiita MTOTO WA SHETANI. Watoto wa shule wana akili na moyo wa ubinadamu, hawapo kama wewe punguani shetani.
 
yaani mtuhumiwa anasota korokoroni halafu unasema hakuna kesi, hisia zingine zimejaa unafiki na imani potofu sana aise dah:pedroP:
Kinachofanyika hapo ni chuki binafsi na kukomoa mtu tu na tukiuchekea huu utaratibu atakuja rais mwenye chuki na wewe hakutakuwa wa kukusaidia
Maana mamlaka pekee ya kuthibitisha mtu ana makosa na ili mahakama ithibitishe makosa lazima pawe na ushahidi usioacha shaka
 
watuhumiwa uhalifu wa aina zote wataendelea kufikishwa mahakamani kulingana na uhalifu wao na kulingana na wito wa mahakama huru za Tanzania.

gharama zitabaki kwa watuhumiwa uhalifu wenyewe na si vinginevyo 🐒
Wewe kumbe hujui kama ni Kodi zetu zinaebdesha haya makesi chechefu
 
Ni bora kutumia gharama kubwa kumshughulia GAIDI kwani kumlealea anaweza kusababisha hasara kubwa zaidi ya mahakamani.
Unaongea mambo ya kuafikirika tu. We unafikiri na jambo rahisi kama kukata gogo. Ugaidi wakati hawana ushahidi
 
Naunga mguu hapo.
Kuna kesi zinapigwa kalenda daily kwa upuuzi huu wa kuonyeshana ubabe wa sheria mahakamani
Msafara kila siku nenda rudi.
Maswali:
Uliniona,nilisikia,ulisign, kukubali, ulikataa, mbona blaah blaah.
Bang kesi imeahirishwa.
Mtuhumiwa: na kesho mje😁
Manyumbu yanafunga safari tena kwenda nasikiliza upuuzi uleule mahakamani
 
Kinachofanyika hapo ni chuki binafsi na kukomoa mtu tu na tukiuchekea huu utaratibu atakuja rais mwenye chuki na wewe hakutakuwa wa kukusaidia
Maana mamlaka pekee ya kuthibitisha mtu ana makosa na ili mahakama ithibitishe makosa lazima pawe na ushahidi usioacha shaka
Gentleman,
kesi zinaendeshwa na kuhitimishwa kwa ushahidi na sio hisia potofu na kulialia.

hakuna porojo mahakamani 🐒
 
Mbona hakuna shughuli yoyote iliyosimama kutokana na uwepo wa Kesi ya Lisu.

Labda huko Chadema ni jambo kubwa sana na mnavyokwenda mahakamani kufuatilia kesi huku mmeacha shughuli zenu za uzalishaji mnadhani ipo hivyo kwa kila mtu.

Kesi ya Lisu ni kesi kama nyingine tu hapo Mahakamani na haijaleta madhara yeyote kama mleta mada unavyotaka tuamini kutokana na mtazamo wako wa kichadema.
 
Pia haikuzuia madhara yeyote.
 
na wewe fanya uhalifu ili utumie kodi yako vizuri 🐒
Kodi za walipa Kodi zinatumika kibwege sana katika kesi za kipumbavu namna hii. Zipo kesi ambazo zilikuwa na maslahi kwa taifa lkn vilaza walibwagwa mahakamani tukapoteza mabilioni ya fedha hizi kesi ambazo hazina kichwa wala miguu ndo serikali inaziweza
 
ok,
zidisha mihemko zaidi na itapendeza 🐒
 
Mbona hakuna shughuli yoyote iliyosimama kutokana na uwepo wa Kesi ya Lisu.

Labda huko Chadema ni jambo kubwa sana na mnavyokwenda mahakamani kufuatilia kesi huku mmeacha shughuli zenu za uzalishaji mnadhani ipo hivyo kwa kila mtu.

Kesi ya Lisu ni kesi kama nyingine tu hapo Mahakamani na haijaleta madhara yeyote kama mleta mada unavyotaka tuamini kutokana na mtazamo wako wa kichadema.
Kwani hujui kama kutwa nzima inasikilizwa kesi hiyo alafu zipo kesi sensitive sana na zenye tija na zimeshindwa kusikilizwa kwa kukosa muda?
Hii kesi haina tofauti yoyote na Ile aliyoshtakiwa mbowe tukiambiwa ni gaidi. Yakatumika mabilioni ya watanzania hadi kumsafirisha kwa ndege eti ni gaidi, ghafla tukakuta gaidi yupo ikulu anapiga picha na rais

Serikali iache woga wa kutumia dola kupambana na wanaiasa
 
ok,
zidisha mihemko zaidi na itapendeza 🐒
Ficha kidogo ukada wako hebu vaa uhalisia hii kesi haina uhalisia wowote ndio maana baada ya hii kesi serikali itabwagwa maana Haina ushahidi wa uhaini maana uhaini wenyewe haupo
 
Gentleman,
kesi zinaendeshwa na kuhitimishwa kwa ushahidi na sio hisia potofu na kulialia.

hakuna porojo mahakamani 🐒
Huwezi tu ukawa unakamata watu kwa mihemko kwa sababu hupendi maneno Yao na kuwapachika kesi yoyote unayojisikia Sheria na mihemko havikai pamoja dogo
 
Ni kwa mantiki kama hizi ndio maana serikali yetu kila ikishtakiwa mahakama za nje tunapigwa kesi zote tunashindwa.

Kwa sababu kuu badala ya kutumia logic tunaendesha mambo kwa mihemko.

Kwa mtu yeyote anayejua sheria japo kwa level ya awali tu anajua hapa hakuna kesi bali ni kusumbuana tu.
Why uteketeze fedha za walipa Kodi kwa ghost issues.
Achana naye huyo, kumjibu ni kumpa airtime.Huyo sio mzalendo wa taifa hili, ni makada ambao kwao chama mbele, taifa nyuma.
 
Kwani hujui kama kutwa nzima inasikilizwa kesi hiyo alafu zipo kesi sensitive sana na zenye tija na zimeshindwa kusikilizwa kwa kukosa muda?
Hii kesi haina tofauti yoyote na Ile aliyoshtakiwa mbowe tukiambiwa ni gaidi. Yakatumika mabilioni ya watanzania hadi kumsafirisha kwa ndege eti ni gaidi, ghafla tukakuta gaidi yupo ikulu anapiga picha na rais

Serikali iache woga wa kutumia dola kupambana na wanaiasa
Hapo High Court kuna open courts zaidi ya 4 na kuna Chambers za judges zaidi ya 15 ; kuna wasajili pia zaidi ya 4 hivyo hiyo kesi moja haiwezi zuia cases nyingine kuendelea.

Kama mlifikiri ni kesi moja tu ya lisu inasikilizwa hapo kwa siku nzima huo ni upotoshaji ambao utapelekea hata Mahakama yenyewe kulitolea ufafanuzi hili kama likiendelea.
 
Back
Top Bottom