Hasara ambazo taifa linaingia kwa kesi ya lisu!!. Mamilioni yanateketea kwa jambo ambalo halina uhalisia.

Hasara ambazo taifa linaingia kwa kesi ya lisu!!. Mamilioni yanateketea kwa jambo ambalo halina uhalisia.

Hii kesi ya ndugu lisu ni kesi inayopoteza fedha za walipa Kodi zilizopaswa kuelekezwa kwenye maendeleo.
Nikiwa naandika hapa kuna watoto hawana madawati kuna hospital hazina dawa, kuna maeneo hayana maji kama hapa goba ninapoishi tangu October hatuna maji, kuna maeneo umeme haupo haya ni kutaja kwa uchache tu.

Hii kesi ya lisu inaliingizia taifa hasara kubwa sana kama ifuatavyo.

1 upotevu wa muda = muda wa mahakama kuamua mambo ya maana unachezewa kwa makusudi kuendesha kesi batili

2 Posho kwa askari wanaosambazwa doria kwa ajili ya jambo lisilo na uhalisia

3 Mafuta ya magari na vyombo mbalimbali vya usalama kushughulika na jambo ambalo halipo

4 Kuchafua picha ya nchi kwa jumuiya ya kimataifa hivyo kupunguza Imani ya watu wanaowaza kuwekeza hapa nchini.
5 kupoteza muda wa wananchi kwa kusababisha jam njiani na kuleta taharuki na hofu bila sababu.
6 mawakili wa serikali kupoteza muda na kuhangaika na kitu ambacho nafsi zao zinajua ni cha uongo na usumbufu tu.

Hizi ni baadhi tu ya hasara ambazo taifa letu linaingia badala ya hayo mamilioni kupelekwa kutatua matatizo ya wananchi wanyonge.
 

Attachments

  • E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    58 KB · Views: 12
Kwani hujui kama kutwa nzima inasikilizwa kesi hiyo alafu zipo kesi sensitive sana na zenye tija na zimeshindwa kusikilizwa kwa kukosa muda?
Hii kesi haina tofauti yoyote na Ile aliyoshtakiwa mbowe tukiambiwa ni gaidi. Yakatumika mabilioni ya watanzania hadi kumsafirisha kwa ndege eti ni gaidi, ghafla tukakuta gaidi yupo ikulu anapiga picha na rais

Serikali iache woga wa kutumia dola kupambana na wanaiasa
Mkuu acha kupoteza muda wako ku argue na hiyo mipumbavu. Hao kenge bongo zao huwa zipo makalioni na vichwani kumejaa vinyesi kutokana na njaa. Hata uwaelimishe kwa mwaka mzima hawawezi kuelewa hata jambo moja, si kwa sababu hawaelewi, ila ni kwa sababu ya njaa zao zinazowalazimu kuupata mlo kwa kujidhalilisha. Huwa tunapuuza hata kusoma comments zao kwa sababu tunajua wanaandika uharo mtupu.
 
Kabisa! Inawezekana hata mabeberu wanapunguza misaada kwa ajili ya kesi hii.
 
Hapo High Court kuna open courts zaidi ya 4 na kuna Chambers za judges zaidi ya 15 ; kuna wasajili pia zaidi ya 4 hivyo hiyo kesi moja haiwezi zuia cases nyingine kuendelea.

Kama mlifikiri ni kesi moja tu ya lisu inasikilizwa hapo kwa siku nzima huo ni upotoshaji ambao utapelekea hata Mahakama yenyewe kulitolea ufafanuzi hili kama likiendelea.
Unajibu kichawachawa sana kuna mrundikano wa kesi ambazo hazijapangiwa tarehe kwa kukosa nafasi haya si maneno yangu ni ya jaji masaju
 
Hapo High Court kuna open courts zaidi ya 4 na kuna Chambers za judges zaidi ya 15 ; kuna wasajili pia zaidi ya 4 hivyo hiyo kesi moja haiwezi zuia cases nyingine kuendelea.

Kama mlifikiri ni kesi moja tu ya lisu inasikilizwa hapo kwa siku nzima huo ni upotoshaji ambao utapelekea hata Mahakama yenyewe kulitolea ufafanuzi hili kama likiendelea.
Watu wanasikiliza ya Lissu tu
 
Lissu: Shahidi una akili timamu?
Shadidi: ndiyo
Lissu: umefufuka lini!
Shahidi: mbona mimi sijafa!

Hii nchi inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom