Ukiwaza hivyo hutofaidi raha za dunia.Ina uwezo wa kuleta dawa kiasi gani Ina uwezo wa kutengeneza madawati mangapi Ina uwezo wa kukopesha GH ijana wangapi wasio na ajira na inapotea ili kuokoa nini
Daaa we kibokoUkiwaza hivyo hutofaidi raha za dunia.
Eti sh. Milioni 1 kuwatoa out familia hutaki unawaza 1M ingenunua bati ngapi!
Ni bora kutumia gharama kubwa kumshughulia GAIDI kwani kumlealea anaweza kusababisha hasara kubwa zaidi ya mahakamani.
Na wewe kwanini ilijiita Hamatan badala ya "Mtoto wa Malaika?" Ahahahahaha!!Wewe aheri ungejiita MTOTO WA SHETANI. Watoto wa shule wana akili na moyo wa ubinadamu, hawapo kama wewe punguani shetani.
HahahaKama hiyo ni njia ya kula,
Bora wasile, hatuwezi kuendesha nchi kwa hira na umangimeza wa namna hii eti kwa sbb watu wale. NON SENSE!
Kinachofanyika hapo ni chuki binafsi na kukomoa mtu tu na tukiuchekea huu utaratibu atakuja rais mwenye chuki na wewe hakutakuwa wa kukusaidiayaani mtuhumiwa anasota korokoroni halafu unasema hakuna kesi, hisia zingine zimejaa unafiki na imani potofu sana aise dah
Wewe kumbe hujui kama ni Kodi zetu zinaebdesha haya makesi chechefuwatuhumiwa uhalifu wa aina zote wataendelea kufikishwa mahakamani kulingana na uhalifu wao na kulingana na wito wa mahakama huru za Tanzania.
gharama zitabaki kwa watuhumiwa uhalifu wenyewe na si vinginevyo π
Unaongea mambo ya kuafikirika tu. We unafikiri na jambo rahisi kama kukata gogo. Ugaidi wakati hawana ushahidiNi bora kutumia gharama kubwa kumshughulia GAIDI kwani kumlealea anaweza kusababisha hasara kubwa zaidi ya mahakamani.
na wewe fanya uhalifu ili utumie kodi yako vizuri πWewe kumbe hujui kama ni Kodi zetu zinaebdesha haya makesi chechefu
Gentleman,Kinachofanyika hapo ni chuki binafsi na kukomoa mtu tu na tukiuchekea huu utaratibu atakuja rais mwenye chuki na wewe hakutakuwa wa kukusaidia
Maana mamlaka pekee ya kuthibitisha mtu ana makosa na ili mahakama ithibitishe makosa lazima pawe na ushahidi usioacha shaka
Pia haikuzuia madhara yeyote.Mbona hakuna shughuli yoyote iliyosimama kutokana na uwepo wa Kesi ya Lisu.
Labda huko Chadema ni jambo kubwa sana na mnavyokwenda mahakamani kufuatilia kesi huku mmeacha shughuli zenu za uzalishaji mnadhani ipo hivyo kwa kila mtu.
Kesi ya Lisu ni kesi kama nyingine tu hapo Mahakamani na haijaleta madhara yeyote kama mleta mada unavyotaka tuamini kutokana na mtazamo wako wa kichadema.
Kodi za walipa Kodi zinatumika kibwege sana katika kesi za kipumbavu namna hii. Zipo kesi ambazo zilikuwa na maslahi kwa taifa lkn vilaza walibwagwa mahakamani tukapoteza mabilioni ya fedha hizi kesi ambazo hazina kichwa wala miguu ndo serikali inaziwezana wewe fanya uhalifu ili utumie kodi yako vizuri π
ok,Kodi za walipa Kodi zinatumika kibwege sana katika kesi za kipumbavu namna hii. Zipo kesi ambazo zilikuwa na maslahi kwa taifa lkn vilaza walibwagwa mahakamani tukapoteza mabilioni ya fedha hizi kesi ambazo hazina kichwa wala miguu ndo serikali inaziweza
Kwani hujui kama kutwa nzima inasikilizwa kesi hiyo alafu zipo kesi sensitive sana na zenye tija na zimeshindwa kusikilizwa kwa kukosa muda?Mbona hakuna shughuli yoyote iliyosimama kutokana na uwepo wa Kesi ya Lisu.
Labda huko Chadema ni jambo kubwa sana na mnavyokwenda mahakamani kufuatilia kesi huku mmeacha shughuli zenu za uzalishaji mnadhani ipo hivyo kwa kila mtu.
Kesi ya Lisu ni kesi kama nyingine tu hapo Mahakamani na haijaleta madhara yeyote kama mleta mada unavyotaka tuamini kutokana na mtazamo wako wa kichadema.
Ficha kidogo ukada wako hebu vaa uhalisia hii kesi haina uhalisia wowote ndio maana baada ya hii kesi serikali itabwagwa maana Haina ushahidi wa uhaini maana uhaini wenyewe haupook,
zidisha mihemko zaidi na itapendeza π
Huwezi tu ukawa unakamata watu kwa mihemko kwa sababu hupendi maneno Yao na kuwapachika kesi yoyote unayojisikia Sheria na mihemko havikai pamoja dogoGentleman,
kesi zinaendeshwa na kuhitimishwa kwa ushahidi na sio hisia potofu na kulialia.
hakuna porojo mahakamani π
Achana naye huyo, kumjibu ni kumpa airtime.Huyo sio mzalendo wa taifa hili, ni makada ambao kwao chama mbele, taifa nyuma.Ni kwa mantiki kama hizi ndio maana serikali yetu kila ikishtakiwa mahakama za nje tunapigwa kesi zote tunashindwa.
Kwa sababu kuu badala ya kutumia logic tunaendesha mambo kwa mihemko.
Kwa mtu yeyote anayejua sheria japo kwa level ya awali tu anajua hapa hakuna kesi bali ni kusumbuana tu.
Why uteketeze fedha za walipa Kodi kwa ghost issues.
Hapo High Court kuna open courts zaidi ya 4 na kuna Chambers za judges zaidi ya 15 ; kuna wasajili pia zaidi ya 4 hivyo hiyo kesi moja haiwezi zuia cases nyingine kuendelea.Kwani hujui kama kutwa nzima inasikilizwa kesi hiyo alafu zipo kesi sensitive sana na zenye tija na zimeshindwa kusikilizwa kwa kukosa muda?
Hii kesi haina tofauti yoyote na Ile aliyoshtakiwa mbowe tukiambiwa ni gaidi. Yakatumika mabilioni ya watanzania hadi kumsafirisha kwa ndege eti ni gaidi, ghafla tukakuta gaidi yupo ikulu anapiga picha na rais
Serikali iache woga wa kutumia dola kupambana na wanaiasa