peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Hii kesi ya ndugu lisu ni kesi inayopoteza fedha za walipa Kodi zilizopaswa kuelekezwa kwenye maendeleo.
Nikiwa naandika hapa kuna watoto hawana madawati kuna hospital hazina dawa, kuna maeneo hayana maji kama hapa goba ninapoishi tangu October hatuna maji, kuna maeneo umeme haupo haya ni kutaja kwa uchache tu.
Hii kesi ya lisu inaliingizia taifa hasara kubwa sana kama ifuatavyo.
1 upotevu wa muda = muda wa mahakama kuamua mambo ya maana unachezewa kwa makusudi kuendesha kesi batili
2 Posho kwa askari wanaosambazwa doria kwa ajili ya jambo lisilo na uhalisia
3 Mafuta ya magari na vyombo mbalimbali vya usalama kushughulika na jambo ambalo halipo
4 Kuchafua picha ya nchi kwa jumuiya ya kimataifa hivyo kupunguza Imani ya watu wanaowaza kuwekeza hapa nchini.
5 kupoteza muda wa wananchi kwa kusababisha jam njiani na kuleta taharuki na hofu bila sababu.
6 mawakili wa serikali kupoteza muda na kuhangaika na kitu ambacho nafsi zao zinajua ni cha uongo na usumbufu tu.
Hizi ni baadhi tu ya hasara ambazo taifa letu linaingia badala ya hayo mamilioni kupelekwa kutatua matatizo ya wananchi wanyonge.
Mkuu acha kupoteza muda wako ku argue na hiyo mipumbavu. Hao kenge bongo zao huwa zipo makalioni na vichwani kumejaa vinyesi kutokana na njaa. Hata uwaelimishe kwa mwaka mzima hawawezi kuelewa hata jambo moja, si kwa sababu hawaelewi, ila ni kwa sababu ya njaa zao zinazowalazimu kuupata mlo kwa kujidhalilisha. Huwa tunapuuza hata kusoma comments zao kwa sababu tunajua wanaandika uharo mtupu.Kwani hujui kama kutwa nzima inasikilizwa kesi hiyo alafu zipo kesi sensitive sana na zenye tija na zimeshindwa kusikilizwa kwa kukosa muda?
Hii kesi haina tofauti yoyote na Ile aliyoshtakiwa mbowe tukiambiwa ni gaidi. Yakatumika mabilioni ya watanzania hadi kumsafirisha kwa ndege eti ni gaidi, ghafla tukakuta gaidi yupo ikulu anapiga picha na rais
Serikali iache woga wa kutumia dola kupambana na wanaiasa
Kiasi kidogo hicho mzee uliza wataalamu wakudadavulie kila kitu sio hiyo 40m..Mtaalamu mmoja kaniambia ni kati ya milioni 30 Hadi 45 zinatumika kila siku ya kesi
Unajibu kichawachawa sana kuna mrundikano wa kesi ambazo hazijapangiwa tarehe kwa kukosa nafasi haya si maneno yangu ni ya jaji masajuHapo High Court kuna open courts zaidi ya 4 na kuna Chambers za judges zaidi ya 15 ; kuna wasajili pia zaidi ya 4 hivyo hiyo kesi moja haiwezi zuia cases nyingine kuendelea.
Kama mlifikiri ni kesi moja tu ya lisu inasikilizwa hapo kwa siku nzima huo ni upotoshaji ambao utapelekea hata Mahakama yenyewe kulitolea ufafanuzi hili kama likiendelea.
Na wewe unaruhusiwa kutafuta wataalamu wengine ukaja na mtazamo wao hapa itapendeza tuKiasi kidogo hicho mzee uliza wataalamu wakudadavulie kila kitu sio hiyo 40m..
HahahaUkiwaza hivyo hutofaidi raha za dunia.
Eti sh. Milioni 1 kuwatoa out familia hutaki unawaza 1M ingenunua bati ngapi!
Watu wanasikiliza ya Lissu tuHapo High Court kuna open courts zaidi ya 4 na kuna Chambers za judges zaidi ya 15 ; kuna wasajili pia zaidi ya 4 hivyo hiyo kesi moja haiwezi zuia cases nyingine kuendelea.
Kama mlifikiri ni kesi moja tu ya lisu inasikilizwa hapo kwa siku nzima huo ni upotoshaji ambao utapelekea hata Mahakama yenyewe kulitolea ufafanuzi hili kama likiendelea.
Nitafute wataalamu ili iweje mkuu..Na w
Na wewe unaruhusiwa kutafuta wataalamu wengine ukaja na mtazamo wao hapa itapendeza tu
Sasa uliwachalenji ili iwejeNitafute wataalamu ili iweje mkuu..
Wasichijua ni kwamba wanampa umaarufu wa bure tuWatu wanasikiliza ya Lissu tu
Kichwa yako ipo sawa mazee..Sasa uliwachalenji ili iweje
Kabisa mkuuKichwa yako ipo sawa mazee..
Kesi ipo mahakamani. Wewe unajuaji hakuna ushahidi?Unaongea mambo ya kuafikirika tu. We unafikiri na jambo rahisi kama kukata gogo. Ugaidi wakati hawana ushahidi
Wewe umefuatilia Ile kesi we umeona ushahidi wa uhaini wakeKesi ipo mahakamani. Wewe unajuaji hakuna ushahidi?
Tena alipata kura milioni moja.Wasichijua ni kwamba wanampa umaarufu wa bure tu
Mbona magufuli alimuacha tu na hakukukwa na shida
Kwani ushahidi wa ile ulitakiwa uwe upi?Wewe umefuatilia Ile kesi we umeona ushahidi wa uhaini wake
Kwani kwa akili ya kawaida lisu alitaka kupindua serikali peke yake?Kwani ushahidi wa ile ulitakiwa uwe upi?
Kwahiyo wewe ulitaka na Heche, Mnyika na Lema kutaja wachache wakamatwe?K
Kwani kwa akili ya kawaida lisu alitaka kupindua serikali peke yake?