Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 361
Ndio basi tena his legacy will live forever.
Ni kwamba eti
Hasara itokee isitokee
Mambo aliyofanya Magufuli katika kipindi chake kifupi hata vipofu wameyaona. Vipofu nao wanasimulia Mambo aliyofanya. Mabubu nao pia wanasimulia.
Ndio hivyo ndugu zangu.
Kama unaumia
Nenda kabomoe Ubungo na Tazara interchange.
Ukiona haitoshi kabomoe hospitali zilizojengwa kila kijiji.
Ukiona haitoshi kabomoe lile bwawa letu la umeme.
Ukiona haitoshi kabomoe ikulu yetu pale Dodoma.
Ukiona haitoshi kabomoe barabara zilizojengwa huko.
Ukiona haitoshi kabomoe reli yetu ya standard gauge.
Ukiona haitoshi kabomoe na reli yetu ya umeme.
Ukishindwa kachukue kamba ujinyonge tu.
Itoshe tu kusema his legacy will live forever.