Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KQ unaifananisha na ya tz!SHIRIKA la Ndege Kenya liimepata hasara ya Sh bilioni 36.2 mwaka jana ambayo ni hasara kubwa katika historia ya shirika hilo.
Kwa hiyo ni tukio la mashirika yote DunianiKQ unaifananisha na ya tz!
?
Hata
Emirates walipata hasara
Ndio.Kwa hiyo ni tukio la mashirika yote Duniani
Kule Ujerumani, watu ambao hata walikuwa hawajazaliwa, lakini wanasimlia mambo aloyoyafanya Hitler.Ndio basi tena his legacy will live forever.
Ni kwamba eti
Hasara itokee isitokee
Mambo aliyofanya Magufuli katika kipindi chake kifupi hata vipofu wameyaona. Vipofu nao wanasimulia Mambo aliyofanya. Mabubu nao pia wanasimulia.
Ndio hivyo ndugu zangu.
Kama unaumia
Nenda kabomoe Ubungo na Tazara interchange.
Ukiona haitoshi kabomoe hospitali zilizojengwa kila kijiji.
Ukiona haitoshi kabomoe lile bwawa letu la umeme.
Ukiona haitoshi kabomoe ikulu yetu pale Dodoma.
Ukiona haitoshi kabomoe barabara zilizojengwa huko.
Ukiona haitoshi kabomoe reli yetu ya standard gauge.
Ukiona haitoshi kabomoe na reli yetu ya umeme.
Ukishindwa kachukue kamba ujinyonge tu.
Itoshe tu kusema his legacy will live forever.
So Mataga /fisiemu /wanyonge wameanza kununua hotuba za jiwe [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Kuna nguvu kubwa sana inataka kuchafua sifa ya mzee, bahati mbaya jahzi linawaelemea.
Maana ni huku jf na twitter,huko mtaani hotiba za jpm zimeanza kuuzwa kwa warusha nyimbo[emoji16][emoji16].
Mama tafadhali, kama unataka kusafisha chawa na kunguni wa jpm,basi hakikisha hukaribishi utitiri na mende kutoka msoga,weka watu wako wengine kabisa.
Alizoiba na wezi wake ngapi? Unazihesabu nazo?Ndio basi tena his legacy will live forever.
Ni kwamba eti
Hasara itokee isitokee
Mambo aliyofanya Magufuli katika kipindi chake kifupi hata vipofu wameyaona. Vipofu nao wanasimulia Mambo aliyofanya. Mabubu nao pia wanasimulia.
Ndio hivyo ndugu zangu.
Kama unaumia
Nenda kabomoe Ubungo na Tazara interchange.
Ukiona haitoshi kabomoe hospitali zilizojengwa kila kijiji.
Ukiona haitoshi kabomoe lile bwawa letu la umeme.
Ukiona haitoshi kabomoe ikulu yetu pale Dodoma.
Ukiona haitoshi kabomoe barabara zilizojengwa huko.
Ukiona haitoshi kabomoe reli yetu ya standard gauge.
Ukiona haitoshi kabomoe na reli yetu ya umeme.
Ukishindwa kachukue kamba ujinyonge tu.
Itoshe tu kusema his legacy will live forever.
Kama angekuwa anatangaza na hasara, usingeyasema haya... YAANI, NI SAWA NA MTU AKUIBIE 10M halafu anarudi kukopa pole ya 2M....!!Ndio basi tena his legacy will live forever.
Ni kwamba eti
Hasara itokee isitokee
Mambo aliyofanya Magufuli katika kipindi chake kifupi hata vipofu wameyaona. Vipofu nao wanasimulia Mambo aliyofanya. Mabubu nao pia wanasimulia.
Ndio hivyo ndugu zangu.
Kama unaumia
Nenda kabomoe Ubungo na Tazara interchange.
Ukiona haitoshi kabomoe hospitali zilizojengwa kila kijiji.
Ukiona haitoshi kabomoe lile bwawa letu la umeme.
Ukiona haitoshi kabomoe ikulu yetu pale Dodoma.
Ukiona haitoshi kabomoe barabara zilizojengwa huko.
Ukiona haitoshi kabomoe reli yetu ya standard gauge.
Ukiona haitoshi kabomoe na reli yetu ya umeme.
Ukishindwa kachukue kamba ujinyonge tu.
Itoshe tu kusema his legacy will live forever.
Kama kweli Kenya Airways wamepata hasara ya Sh bilioni 36.2 na ATCL bilioni 60, Kenya ikiongoza katika Afrika Mashariki kwa madhara ya Covid-19 Tanzania ikiwa haina kabisa na mipaka yake ikiwa wazi wakati wote, KA ina Dreamliners 8 ATCL ina 2. Kabla ya Covid-19 KA kwa kutumia ndege zake zote kwa siku walikuwa na safari (flights) 70 toka Viwanja vyao kwenda walikokwenda ikiwa ni pamoja na Tanzania, ATCL hata takwimu za safari zake kwenda Chato tu hazijulikani. ATCL ina ndege 8 ndo zimetengeza hiyo hasara ya bilioni 60, hata vilaza wenzako wa CCM wanatakiwa wajue, kama hawajui haishangazi, kuwa jinsi ndege zivyokuwa nyingi ndivyo faida au hasara inavyokuwa kubwa. KA ina ndege nyingi zaidi na nyingi kubwa kuliko za ATCL lakini Shirika limekuwa likipata hasara miaka yote 5 ya uhai wake na Serikali ikitudanganya kupokea Gawio la bilioni 28 kumbe ni mgawo wa hasara ambayo ni kawaida Kampuni ikipata hasara, wanahisa hugawana hiyo hasara kufuatana na ukubwa wa Hisa za kila mwanachama.SHIRIKA la Ndege Kenya liimepata hasara ya Sh bilioni 36.2 mwaka jana ambayo ni hasara kubwa katika historia ya shirika hilo.
Wale wenzetu waliosoma wakati Nchi ikiwa na elimu bora watakumbuka ile hadithi ya vipofu 7 waliokwenda kuona Tembo walipofika kwa yule mnyama kila mmoja alipapasa sehemu aliyofikia, mmoja akishika mkia, mwingine mguu, mwingine mkonga, mwingine sikio, mwingine jino nk walirudi nyumbani kwa wenzao kuwaelezea Tembo alivyo mnyama mzuri. Miradi ya Magufuli ndivyo ilivyo maana inasemwa tu na CCM!Ndio basi tena his legacy will live forever.
Ni kwamba eti
Hasara itokee isitokee
Mambo aliyofanya Magufuli katika kipindi chake kifupi hata vipofu wameyaona. Vipofu nao wanasimulia Mambo aliyofanya. Mabubu nao pia wanasimulia.
Ndio hivyo ndugu zangu.
Kama unaumia
Nenda kabomoe Ubungo na Tazara interchange.
Ukiona haitoshi kabomoe hospitali zilizojengwa kila kijiji.
Ukiona haitoshi kabomoe lile bwawa letu la umeme.
Ukiona haitoshi kabomoe ikulu yetu pale Dodoma.
Ukiona haitoshi kabomoe barabara zilizojengwa huko.
Ukiona haitoshi kabomoe reli yetu ya standard gauge.
Ukiona haitoshi kabomoe na reli yetu ya umeme.
Ukishindwa kachukue kamba ujinyonge tu.
Itoshe tu kusema his legacy will live forever.
Ulishawahi kumchafua mchafu au kumsafisha msafi? Acha utani ukiwa na akili timamu huwezi kufanya haya.JPM ni kiongozi aliyeletwa na Mungu kamwe hatoweza kuchafuliwa.
Ndio basi tena his legacy will live forever.