Hasara itokee isitokee mambo aliyofanya Magufuli hata vipofu wameyaona

SHIRIKA la Ndege Kenya liimepata hasara ya Sh bilioni 36.2 mwaka jana ambayo ni hasara kubwa katika historia ya shirika hilo.
KQ unaifananisha na ya tz!
?
Hata
Emirates walipata hasara
 
Mambo ya nchi yetu Mungu aliyotupa kuwa mali binafsi ya mtu nasi tu shamba lake yaliisha 17/3 kilichobakia ni kung'oa visiki tu.
Nchi irudi kuwa mali ya wananchi na sio mali binafsi.
 
Kwa hiyo ni tukio la mashirika yote Duniani
Ndio.
Ila hili shirika lilikuwa linaoata hasara hata kabla ya korona.
Hujafuatilia na hujui kitu.

Na walikuwa wanadanganya mpaka wakatoa gawio .
 
Kule Ujerumani, watu ambao hata walikuwa hawajazaliwa, lakini wanasimlia mambo aloyoyafanya Hitler.
 
So Mataga /fisiemu /wanyonge wameanza kununua hotuba za jiwe [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Mkuu wew uko upande upi hapo?
Yaani
1: Taga/ccm
2: Mnyonge
 
Alizoiba na wezi wake ngapi? Unazihesabu nazo?
 
Hata hivyo wasioona alichofanya marehemu ni kama tone la maji baharini . Mpango njoo na mipango yako tuendekeze taifa .

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu suala sio hasara wala mambo aliyoyafanya Mwendazake, Suala ni uongo tulokuwa tkilishwa kwamba shirika letu pendwa ATCL linajiendesha kwa faida na hata kutoa GAWIO kwa serikali ilihali shirika hilo linajiendesha kwa hasara kubwa tena miaka yote mfululizo, huku wafanyakazi wa umma wakinyimwa nyongeza zao za mishahara na madaraja, kwa kisingizio pesa zao zinapelekwa huko, kumbe zinatiririkia shimoni!
 
Kama angekuwa anatangaza na hasara, usingeyasema haya... YAANI, NI SAWA NA MTU AKUIBIE 10M halafu anarudi kukopa pole ya 2M....!!
 
SHIRIKA la Ndege Kenya liimepata hasara ya Sh bilioni 36.2 mwaka jana ambayo ni hasara kubwa katika historia ya shirika hilo.
Kama kweli Kenya Airways wamepata hasara ya Sh bilioni 36.2 na ATCL bilioni 60, Kenya ikiongoza katika Afrika Mashariki kwa madhara ya Covid-19 Tanzania ikiwa haina kabisa na mipaka yake ikiwa wazi wakati wote, KA ina Dreamliners 8 ATCL ina 2. Kabla ya Covid-19 KA kwa kutumia ndege zake zote kwa siku walikuwa na safari (flights) 70 toka Viwanja vyao kwenda walikokwenda ikiwa ni pamoja na Tanzania, ATCL hata takwimu za safari zake kwenda Chato tu hazijulikani. ATCL ina ndege 8 ndo zimetengeza hiyo hasara ya bilioni 60, hata vilaza wenzako wa CCM wanatakiwa wajue, kama hawajui haishangazi, kuwa jinsi ndege zivyokuwa nyingi ndivyo faida au hasara inavyokuwa kubwa. KA ina ndege nyingi zaidi na nyingi kubwa kuliko za ATCL lakini Shirika limekuwa likipata hasara miaka yote 5 ya uhai wake na Serikali ikitudanganya kupokea Gawio la bilioni 28 kumbe ni mgawo wa hasara ambayo ni kawaida Kampuni ikipata hasara, wanahisa hugawana hiyo hasara kufuatana na ukubwa wa Hisa za kila mwanachama.
 
Wale wenzetu waliosoma wakati Nchi ikiwa na elimu bora watakumbuka ile hadithi ya vipofu 7 waliokwenda kuona Tembo walipofika kwa yule mnyama kila mmoja alipapasa sehemu aliyofikia, mmoja akishika mkia, mwingine mguu, mwingine mkonga, mwingine sikio, mwingine jino nk walirudi nyumbani kwa wenzao kuwaelezea Tembo alivyo mnyama mzuri. Miradi ya Magufuli ndivyo ilivyo maana inasemwa tu na CCM!
 
Burigi na chato hela za kina nani?
Maana hizo za ubungo na tazara aliasisi jk meko kana kutekeleza.
Je chato na huko kwa waziri mkuu pesa ilitoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…