Hasara ya kuvunja mikataba ni baada ya kupuuzwa ushauri wa Tundu Lissu

Ukweli mtupu.

Tundu Lissu ni mzalendo kweli kweli
 
Nchii hii mambo ni shaghala nagala.
 

Kwa hiyo ruksa kuingia mikataba mibovu huko mbeleni tukiogopa kuivunja kwa kuhofia hasara? Ungekuwa na rational thinking ungesema waliosababisha kuingia mikataba mibovu wawajibishwe kabla ya waliovunja q
 
Kaka CCM inatawala nchi hii ki magumashi.

Hayo madeni yote watayalipa watoto na wajukuu zetu hatuna namna na kibaya zaidi ukiwakosoa kama lissu alivyokuwa anafanya wao wanasema wewe si mzalendo umetumwa na mabeberu - kwao mzalendo ni yule anayekubali kuyala matango pori bila kuyamenya.

Ni kweli Lissu alikuwa sahihi na bado yupo sahihi.
 
Kwa hiyo ruksa kuingia mikataba mibovu huko mbeleni tukiogopa kuivunja kwa kuhofia hasara? Ungekuwa na rational thinking ungesema waliosababisha kuingia mikataba mibovu wawajibishwe kabla ya waliovunja q
Kuingia na kutoka kwenye mkataba kuna taratibu zake, aliyekosea kuingia na kutoka kwenye mikataba wote wana makosa. Chaajabu kwenye taifa hili la CCM kwa miaka 60 watu wote hawa wako salama usalimini, wenye hatia na wanaostahili kunyongwa hadi kufa ni akina Lissu ambao wanaosema tulikosea kuingia na tunakosea kutoka kwenye mikataba hii. Akina Lissu walipiga kelele sana bungeni wakati wa kuingia na walipiga kelele sana wakati wa kuivunja lakini walionekana wanatumiwa na mabeberu. Mnyonge mnyongeni lakini iko siku kilio chake kitaturudia watanzania wote. Lissu anapigwa risasi kwaajili ya watanzania lakini lakini watanzania hawaithamini damu ya Lissu iliyomwagika, wanaendelea na kazi zao kama kawaida as if nothing happened, iko siku tutailipa wote damu yake kwa gharama kubwa sana.
 
Umemlipua asante sana,huyo kweli ni shoga ndiyo maana anamsingizia Lissu kisa yuko Ubelgiji.
 
Tundu Lissu ukimpuuza utaumia mwenyewe.

Mifano tunayo
 
Hadi hapa ushajionesha upo kwenye chuki fulani, ni mwendo uleule wa kumkashifu aliyetangulia. Post kuu uozo wote ulifanyika awamu ya nne hasa hiyo Symbion, ila sasa unahusisha awamu ya tano.

Yaani mtu keshapumzika ila bado anawasumbua akili zenu, mnahangaika kuzima legacy yake. Hii nguvu kubwa mnayotumia ndiyo mnajulisha watu nyinyi ndiyo wenye tatizo
 
Hajapumzika la hasha,bado yuko kuzimu anajutia mateso aliyokuwa akiwafanyia Watanzania wasio na hatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…