Hasara ya kuvunja mikataba ni baada ya kupuuzwa ushauri wa Tundu Lissu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Sina mashaka na uzalendo wa Tundu Lissu kwa Taifa. Kinachomponza ni kuwaambia watu tusikombe mboga ili tushibe wote. Kuna watu hawataki kuambiwa usikombe mboga, wanachofurahia ni wao wakombe peke Yao wengine mle ugali kwa kuchovya tongue au mle bilà mboga kabisa.

Tundu Lissu aliwaonya watu kuhusu ubaya wa kuvunja mikataba bila kufuata Sheria za kuvunja mkataba uliofungwa kisheria. Lakini aliambuli kile alichokiambulia. Sasa tunaambiwa taifa limeingia hasara inayotugharimu sisi wote na akiwemo Tundu Lissu.

Nashauri deni hilo lilipwe na waliohusika kuvunja mkataba wa symbion na mikataba mingine iliyovunjwa kwa njia hizo kama wenyewe watashinda kesi. Tushikilie Mali zao popote zilipo ndani na nje ya Nchi na kuzipiga mnada kulipia gharama hizo, na deni litakalobaki basi ndio sisi wote kwa shingo upande kabisa tulilipe.

Hii ni kuonyesha kuwa CCM imeshimdwa kuisimamia serikali yake, wajitafakari.

Tuliambiwa hakuna watumishi hewa mbona CAG amesema wapo wengi TU? Tulidanganywa? Kuna watumishi hawakupandishwa vyeo Wala kuongezewa mishahara Yao kwa kisingizio kuwa wanashughulika na watumishi hewa kwanza, mbona wapo?
 
Sasa mzee Symbion anatofauti gani na IPTL? Symbion ni mradi Marekani alikuja kufungua Obama hapa na Kikwete ana % zake pale anakula ila walikuwa wanaishi kwa kutegemea Service Charge tu ila umeme hamna na mitambo yao yakutegemea mafuta mazito!

Sasa hakuna wakuwabana unafikiri kwani Kalemani alitolewa kwanini? Sasa ata IPTL wanaweza kusema zile pesa Escrow Account zilikuwa zake kama Rais wa awamu ya nne alivyokasema huku akitofautiana na CAG wake na TRA waliokasema pale Serikali ilikuwa na hela yake.
 
Huo mkataba ulivunjwa kwa u shauri wa zitto akiwa chadema, na zitto alishauriwa na Lissu, wakati huo MD wa tanesco alikuwa Dr Idris Rashid
 
Sasa mzee Symbion anatofauti gani na IPTL? Symbion ni mradi Marekani alikuja kufungua Obama hapa na Kikwete ana % zake pale anakula ila walikuwa wanaishi kwa kutegemea Service Charge tu ila umeme hamna na mitambo yao yakutegemea mafuta mazito!

Sasa hakuna wakuwabana unafikiri kwani Kalemani alitolewa kwanini? Sasa ata IPTL wanaweza kusema zile pesa Escrow Account zilikuwa zake kama Rais wa awamu ya nne alivyokasema huku akitofautiana na CAG wake na TRA waliokasema pale Serikali ilikuwa na hela yake.
watanzania hakika ninawaambia, shida yetu kuu sio katiba wala tume ya uchaguzi bali CCM. wafuasi wa CCM wanapiga makofi tu kila mwaka kwa miaka 60 yote ya uhuru wetu, ccm ina fatigue kali sana, imefikia mahala chama na serikali vimejaa watu ambao hawawezi tena kukosoana kutokana na wote wana uhusiano na waanzlilishi wa chama na viongozi wa serikali za awamu zote 6.
 
Sasa mzee Symbion anatofauti gani na IPTL? Symbion ni mradi Marekani alikuja kufungua Obama hapa na Kikwete ana % zake pale anakula ila walikuwa wanaishi kwa kutegemea Service Charge tu ila umeme hamna na mitambo yao yakutegemea mafuta mazito!

Sasa hakuna wakuwabana unafikiri kwani Kalemani alitolewa kwanini? Sasa ata IPTL wanaweza kusema zile pesa Escrow Account zilikuwa zake kama Rais wa awamu ya nne alivyokasema huku akitofautiana na CAG wake na TRA waliokasema pale Serikali ilikuwa na hela yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tafuta taaarifa sahihi...

Symbion wanatumia gas turbines....walirithi mitambo ya Richmond baada ya turbines on wheels za richmond kugoma due to difference frequence, Richmond akaleta Gas turbine 40MW kama immediate cover -up kikanuka na hilo turbine likaangukia mikononi mwa Symbion..

HOF ni IPTL pale Tegeta na Mwanza Nyakato...
 
Sasa mzee Symbion anatofauti gani na IPTL? Symbion ni mradi Marekani alikuja kufungua Obama hapa na Kikwete ana % zake pale anakula ila walikuwa wanaishi kwa kutegemea Service Charge tu ila umeme hamna na mitambo yao yakutegemea mafuta mazito!

Sasa hakuna wakuwabana unafikiri kwani Kalemani alitolewa kwanini? Sasa ata IPTL wanaweza kusema zile pesa Escrow Account zilikuwa zake kama Rais wa awamu ya nne alivyokasema huku akitofautiana na CAG wake na TRA waliokasema pale Serikali ilikuwa na hela yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii itaamsha madai kwa wote waliovunjiwa mikataba yao wakiwemo Barrick na makinikia yao. Maana mkataba wa Barrick ulikuwa wa kisheria na ulikuwa unawaruhusu kusafirisha makinikia kama walivyokuwa wakifanya. Badala ya kuwanyonga wetu waliosaini mikataba mibovu kama ile tunakwenda kuvunja mikataba yao.

Siasa ya kutofungamana na upande wowote hatujui namna ya kufanya itunufaishe, kwani ilitakiwa kama tunataka kuingia mkataba wowote wa kiuchumi na Marekani na nchi za magharibu unakwenda kukodi/kuazima wataalam wabobezi washauri wa mikataba ya aina hiyo kutoka nchi za mashariki kama vile Urusi, North Korea, Cuba, Venezuela, China, nk.

Hivyohivyo kama ukitaka kuingia mikataba na nchi za mashariki unakwenda kununua/kuazima washauri kutoka nchi za magharibi.

Hawa watasoma neno kwa neno, matari kwa mstari na ukurasa kwa ukurasa wa mkataba kufichua mitego na wizi wote.
 
that is a piece of iceberg, mpaka muwalipe wote na muanze kurusha ndege za ATCL sehemu yoyote duniani, Bei ya mafuta itakuwa Tzs 3500/l, kulipia illegally terminated contracts/agreements
Ina maana madege yetu yatakamatwa yakiwa hukohuko angani yakielekezwa yakatue wapi kwenda kulipia madeni ya hivi?
 
Sina mashaka na uzalendo wa Tundu Lissu kwa Taifa. Kinachomponza ni kuwaambia watu tusikombe mboga ili tushibe wote. Kuna watu hawataki kuambiwa usikombe mboga, wanachofurahia ni wao wakombe peke Yao wengine mle ugali kwa kuchovya tongue au mle bilà mboga kabisa.

Tundu Lissu aliwaonya watu kuhusu ubaya wa kuvunja mikataba bila kufuata Sheria za kuvunja mkataba uliofungwa kisheria. Lakini aliambuli kile alichokiambulia. Sasa tunaambiwa taifa limeingia hasara inayotugharimu sisi wote na akiwemo Tundu Lissu.

Nashauri deni hilo lilipwe na waliohusika kuvunja mkataba wa symbion na mikataba mingine iliyovunjwa kwa njia hizo kama wenyewe watashinda kesi. Tushikilie Mali zao popote zilipo ndani na nje ya Nchi na kuzipiga mnada kulipia gharama hizo, na deni litakalobaki basi ndio sisi wote kwa shingo upande kabisa tulilipe.

Hii ni kuonyesha kuwa CCM imeshimdwa kuisimamia serikali yake, wajitafakari.

Tuliambiwa hakuna watumishi hewa mbona CAG amesema wapo wengi TU? Tulidanganywa? Kuna watumishi hawakupandishwa vyeo Wala kuongezewa mishahara Yao kwa kisingizio kuwa wanashughulika na watumishi hewa kwanza, mbona wapo?
Pale kuna watu watanufaika sn kupitia hizo kesi
 
Mwenda zake alikuwa tatizo,kaondoka katuachia matatizo.
Ndio maana mimi namshauri mama mama mama yetu Samia Rais wa JMT kuwa haya mamiradi uliyoachiwa na mwendazake achana nayo kabisa au yafanyie modification kubwa sana, badala yake jielekeze kwenye miradi inayogusa watu wengi sana kama vile kupeleka maji, umeme, zahanati, shule, barabara vijijini kote. Ukipeleka maji ambapo hakukua na maji tangu wakati wa mkoloni hadi uhuru utakumbukwa milele na watu wote kuliko ukimalizia ujenzi reli mpaka uganda, rwanda, kongo na burundi. Mradi wa reli jenga tu hadi Tabora baaasi na kutengeneza bandari kavu pale ili watu wa mwanza, uganda, rwanda, burundi, congo, musoma, na kagera waje Tabora kufuata mizigo yao ili uokoe fedha za kuboresha maisha ya watanzania wote. Anaekuja ataendelea na ujenzi kama ni muhimu. Mwandazake ametuachia balaa kubwa ambalo tutangaika nalo kwa zaidi ya miaka 50 ijayo.

Sasa hivi taifa haliambiwi ni mkakati gani ulioko wa kupunguza adhali za kupanda kwa bei ya mafuta kwa kutumia natural gas yetu tuliyonayo nchini. Mfano, nilitamani kusikia kuwa kuanzia mwezi Mei mabasi yote ya DART na serikali yatatumia gas yetu badala ya petrol/dizeli.
 
Kuna jambo unataka kuli adress lakini uandishi hovyo
Sasa mzee Symbion anatofauti gani na IPTL? Symbion ni mradi Marekani alikuja kufungua Obama hapa na Kikwete ana % zake pale anakula ila walikuwa wanaishi kwa kutegemea Service Charge tu ila umeme hamna na mitambo yao yakutegemea mafuta mazito!

Sasa hakuna wakuwabana unafikiri kwani Kalemani alitolewa kwanini? Sasa ata IPTL wanaweza kusema zile pesa Escrow Account zilikuwa zake kama Rais wa awamu ya nne alivyokasema huku akitofautiana na CAG wake na TRA waliokasema pale Serikali ilikuwa na hela yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hili la mikataba kuna aspect ya ukweli , hata hao wazungu wenyewe wanatushangaa , inafika sehemu mtu anaingia makubaliano ya hovyo kisa tu anapata vijisenti yeye na familia yake anasahau kwamba kuna watu wengine zaidi yake na familia yake .Kwa ufupi suala na mamikataba na makubaliano ya hovyo kama tungekubaliana wote kama taifa kuyafumua na kuanza upya tungekua mbali sana
 
hakuna awamu ambayo haijaingia mikataba ya hovyo, hata hiyo ya zamani ikifumuliwa, mingine ya hovyo inatengenezwa kama huo wa Bagamoyo
 
Ukisema hivyo ni njia nyingine ya kusema CCM ndiyo inayohusika kwakuwa ilikuwepo kwenye awamu zote 6
 
Sasa mzee Symbion anatofauti gani na IPTL? Symbion ni mradi Marekani alikuja kufungua Obama hapa na Kikwete ana % zake pale anakula ila walikuwa wanaishi kwa kutegemea Service Charge tu ila umeme hamna na mitambo yao yakutegemea mafuta mazito!

Sasa hakuna wakuwabana unafikiri kwani Kalemani alitolewa kwanini? Sasa ata IPTL wanaweza kusema zile pesa Escrow Account zilikuwa zake kama Rais wa awamu ya nne alivyokasema huku akitofautiana na CAG wake na TRA waliokasema pale Serikali ilikuwa na hela yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyo Kalemani wenu yeye angeweza kuzuia kila kitu au
 
Back
Top Bottom